JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

Status
Not open for further replies.
kilichokuwa kinamliza bi harusi ni nini? makubwaaaaaaa
 
Mbona kwenye wageni maarufu sijaona majina ya akina Rais Ben Mkapa, M.Pinda, Dr Magufuli, S.Sitta, E.Lowasa,nk naona ni alhaji, Alhasani, Abdallah, Hussein........... Anyway nawatakia maisha mema ya majukumu mapya....
 
oldisgold Ila kwa nini mtoto wa raisi avae vazi la taifa la oman..? Mi muislamu ila huu ni ujuha...au kikwete ni muoman? Samahanini kwa ntakao wakera
 
Last edited by a moderator:
Mimi nilija dada yetu Mwanaisha kaolewa

Mimi nilitegemea Diamond kapinduliwa
image.jpg​
watu8 take care
 
Last edited by a moderator:
oldisgold hao ni waislamu au mbona mabega wazi halafu wakifaa mitandio waseme hijabu: hovyo kabisa
 
Last edited by a moderator:
Hii sherehe ni zaidi ya maulid hao wageni waalikwa duu hata benadi membe marufuku
 
mungu anisaheme nilidhani chanzo ni gazeti la Global Publishers au Sani, nimeshangaa kuona ni mwananchi.
 
Mbona kwenye wageni maarufu sijaona majina ya akina Rais Ben Mkapa, M.Pinda, Dr Magufuli, S.Sitta, E.Lowasa,nk naona ni alhaji, Alhasani, Abdallah, Hussein........... Anyway nawatakia maisha mema ya majukumu mapya....

mkuu issue ni ya kidini islam unaitakia nini? Wenzetu wako focused
 
Miraji Kikwete kamuoa mtoto wa Dr. Hassan Mshinda mkurugenzi mkuu wa COSTECH pale jengo la Sayansi.

Kwa alivyo prezda wetu tutegemee Dr Hassan kupata promotion ya kufa mtu kama shukrani kwa kilembwe!
 
Hiyo source ndio imenifurahisha, yani gazeti la mwananchi badala kuripoti namna ambavyo tunakabiliwa na makali ya kupanda kwa bei ya gesi, umeme, na maji wao wanaripoti harusi ya mtoto wa raisi. ha ha ha ha ha. Huyu mhariri wa hili gazeti ni majanga sasa.

Alafu kaipa uzito kabisa kuwa front page makubwa haya.
 
mba.Tia & lipu.Mba hawakuwepo?

maana ni wazee wa pilau kwa hapo bongo..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom