Jk anadesa kwenye vikao vya kimataifa

Jk anadesa kwenye vikao vya kimataifa

If you all did not know, it is one quality of good leadership character. As a leader he is not supposed to be know more than all others, he just has to know all those who know the important things and to employ them to his advantage.
Yaani hadesi ila anatumia watu wake kupata taarifa muhimu za msingi kabla hajazungumza asije aka-offend baadhi ya watu katika vikao vya kimataifa.

Hilo ni suala rahisi tu ila kuna watu wanataka kuharibu kutokana na kutoelewa kwao. Hivi unafikiri rais lazima awe na IQ kubwa kuliko watanzania wote? La msingi ni kujua kuwatumia watu wenye IQ kubwa kwa manufaa. Ndio maana hata mkiomba kazi huko mnakotuma tuma ma-CV yenu watu wanaangalia kama mna akili ili wawatumie kukuza mapato ya kampuni zao.

Hebu tafuteni mada nyingine ya msingi naona hii inataka kunichefua ntatapikia laptop yangu bure hapa...
 
Muongo utamjua tu we mcheki! Hata Obama si unamuona anavyomcheki machoni!
 
Nasikia washauri na wasaidizi wake huwa matumbo yanawauma sana pale mheshimiwa anapohojiwa hasa na International media., huona muda wowote anaweza 'akateleza'
 
Hiyo ya kudesa mbona ukweli tu, tena sana! jamaa ni kilaza, fwatilieni alivyo underperform kwenye final paper ya UDSM ndo mtaelewa. He did not even qualify to be awarded a degree!
 
Jamaa amekuwa waziri wa mambo ya nchi za nje kipindi cha mkapa for 10 yrs, na mkapa mikutano kibao alikuwa anamuwakilisha mpaka mkapa mwenye akasema JK ni mashine nyingine. Hapo wataka kusemaje ? mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Kwani foreign affairs hakuna vilaza??? Mkapa alimweka pale kulipa fadhira za 1995, otherwise JK siyo Mkapas type!!
 
hkyu jamaa huwa haelewi kitu yaani huwa ni shida sana

huwa hajielewi kabissa....... kuna kile kikao alikuwa uswiss haki ya mungu Mkapa asingekuwepo.......angeweza hata kukimbia
 
Wadau nashukuru kwakuwa leo mada yangu imechangiwa kwa wingi sana. Lakini pia nimejifunza kuwa mwono wangu hauku wrong sana kwa kiasi kikubwa nilikuwa sahihi. Unajua kuwa na IQ silazima uwe nayo kubwa kuwazidi watz bali uwe nayo hata ya kujenga hoja rahisi. Mfano kama Rais hawezi kujibu kwanin nchi ni maskin ambalo hata ukimwuliza mtoto wa primary anajibu haiwezekan labda kama amesoma abroad lakin bado wagen wakifika baada ya siku 2 ukimwuliza anaweza eleza. Mi nafikiri ndiyo maana hata sasa uchumi wa nchi unayumba kwa sababu hajishughulishi kufikiri. Basi atumie hao wasaidiz wake ili anusuru uchumi, kwanza wanachakachua noti sasa. Beno ndulu yupo bot toka enzi za mkapa, hakujifunza chochote. Dah shida tupu, ccm ikafie mbali la sivyo tutawamisri.
 
Hapo ana wa kumdesea,akaamue aingie na karatasi ili adese kwenye karatasi!!!!
Inaonekana kipindi akiwa chuo alikuwa anadesa sana,sasa si adese kwa maraisi wenzake wenye mafanikio wanafanikiwa vp kuinua uchumi wa nchi na wananchi wao!!!!!!!!!!

hapa si ndio alikuwa anazungumzia basketball?
 
kwahiyo mnataka kusema Jk hajui ngeli? Ila kama anajua kiswahili bac haisumbui
 
yes nimekukubali kwa pointi yako.
You are so smart
Jamani msema kweli mpenzi wa Mungu! Lini na wapi Mkapa aliwahi kusema eti JK ni mashine nyingine? Tuache ushabiki. Kila mtu anajua kuwa IQ ya JK haifikii hata 50% ya Mkapa, pamoja na kuwa wote wana kale kaugonjwa cha kimaadili kinachojulikana kama ufisadi, ila pamoja na mapungufu yake Ben alikuwa intelligent. Kama utakumbuka vizuri Tim Sebastian alimvulia kofia katika Hard Talk (orijino) BBC kwani Mkapa alifanikiwa kujenga hoja yake vizuri pamoja na challenges. Sasa mi sijawahi kumwona JK katika debate show yoyote hata ya hapa nchini (refer debate shows za uchaguzi) sembuse ya huko nje! Yaani hii ndo Achilles heel ya JK kama mwanasiasa!
 
ilikuwaje? hebu tujuze wenzako lol
hkyu jamaa huwa haelewi kitu yaani huwa ni shida sana

huwa hajielewi kabissa....... kuna kile kikao alikuwa uswiss haki ya mungu Mkapa asingekuwepo.......angeweza hata kukimbia
 
Kwani foreign affairs hakuna vilaza??? Mkapa alimweka pale kulipa fadhira za 1995, otherwise JK siyo Mkapas type!!
kweli hiyo sio type ya Mkapa hata siku moja
Mkapa alikuwa ni balaa hata katika midahalo ya Kimataifa
Nakumbuka katk ule mdahalo wa MDGs jamaa alikuwa anashuka point hadi wazungu wenyewe walikuwa wanmgwaya
jamaa ndio aliyeipa heshima sana nchi yetu wakati wake
 
If you all did not know, it is one quality of good leadership character. As a leader he is not supposed to be know more than all others, he just has to know all those who know the important things and to employ them to his advantage.
Yaani hadesi ila anatumia watu wake kupata taarifa muhimu za msingi kabla hajazungumza asije aka-offend baadhi ya watu katika vikao vya kimataifa.

Hilo ni suala rahisi tu ila kuna watu wanataka kuharibu kutokana na kutoelewa kwao. Hivi unafikiri rais lazima awe na IQ kubwa kuliko watanzania wote? La msingi ni kujua kuwatumia watu wenye IQ kubwa kwa manufaa. Ndio maana hata mkiomba kazi huko mnakotuma tuma ma-CV yenu watu wanaangalia kama mna akili ili wawatumie kukuza mapato ya kampuni zao.

Hebu tafuteni mada nyingine ya msingi naona hii inataka kunichefua ntatapikia laptop yangu bure hapa...
Hapo kwenye red ndio kweenye tatizo.
Ni lilni serikali ya tz inathamini wenye akili kuzidi wao?
wakikuona tu unawazidi basi wewe jua kuwa ni lazima watakupiga chini
wanapenda kukaa na vilaza wenzao kama akina Makamba na wengine wa hivyo
Usitegemee CCM itachukua wenye IQ kubwa hata siku moja
 
Amezoea kuandikiwa hotuba ambazo watz wanampigia makof hata akiongea pumba na ndo sabab issue ambazo ni critical huwa an adress wazee wa ccm Dar !! kwann hujiuliz why hajawah kuita wasomi wa vyuo vikuu na waandish habari akaongea nao??
Huko kwenye vikao vya kimataifa hakuna wa kumpigia makof!!!!!!!!!!!!!!!

Umenikumbusha hotuba yake bungeni alipopigiwa makofi kila mstari aliosoma! Sikuelewa, wajinga ni wanaopiga makofi hawajui pointi ni nini, au ni huyo anayesoma wanajaribu kumpa kichwa kikubwa?
 
Jamaa amekuwa waziri wa mambo ya nchi za nje kipindi cha mkapa for 10 yrs, na mkapa mikutano kibao alikuwa anamuwakilisha mpaka mkapa mwenye akasema JK ni mashine nyingine. Hapo wataka kusemaje ? mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Sasa kama ana uzoefu kwanini aendelee kudesa hivyo! Mi nadhani ana uzoefu mkubwa wa kudesa tu na sio kazi. Kama hicho kikao na Obama alikuwa anajua issues watakazoongea sasa hayo makaratasi ya nini? Shame on him!!!!!!!
 
8e9u9992.jpg
mbona kama anayaangalia hayo maepple hapo?
 
Naikumbuka sana hii kwenye CNN. Hapa walikuwa wanaonana na waandishi wa habari kujibu maswali. lakini huyu JK yeye badala yake akawa anadesa kwenye hiyo note book.
Nakumbuka vilevile aliulizwa ni kwa nini watanzania ni maskini wakati wana rasilimali kibao, jamaa akajaribu kudesa bila mafanikio. Ndipo akajibu kuwa hata yeye hajui ni kwa nini watanzania ni maskini.
Ooh poor my country
 
Jamaa amekuwa waziri wa mambo ya nchi za nje kipindi cha mkapa for 10 yrs, na mkapa mikutano kibao alikuwa anamuwakilisha mpaka mkapa mwenye akasema JK ni mashine nyingine. Hapo wataka kusemaje ? mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Acha upambwafu na uongo wako hapa, ni lini mkapa alimsifia kikwete kama siyo propaganda za kitambwe hiza hapa!!???
 
Nimekuwa nikimuangalia jk kwenye mikutano ya kimataifa anaonekana kama mtu ambaye haelewi yanayozungumzwa kiasi kwamba lazima akae na mtu karibu ili kudesa(kuigilizia au kutafsiliwa). Mfano ni mikutano miwili ambayo ni ule wa world economic forum Davos ambapo alikaa na mtaala kiingereza mh. Ben mkapa huku akionekana hajiamini, nyingine ni juzi hapa huko Ivory coast, wakati kikao kinaendelea anaonekana kumsumbua Mh. Ben Membe huku akionekana haelewi. Ninawasiwasi na uelewa wake kwenye international meeting. Au wanajamii mnamwonaje.

Haelewi kizungu au haelewi mada?

Kwa kizungu sina wasiwasi naye, ukisikiliza speech zake utakubaliana nami kuwa hana matatizo ya kizungu kiasi cha kutoelewa mtu anasema nini!

Kuelewa mada hiyo sina hakika, lakini kwa issue ya Ivory Coast nashawishika kuamini kuwa JK anaelewa vyema labda alitaka kujikumbusha msimamo wa serikali kwa Membe juu ya uhalali wa Gbagbo!

Similar Discussions

Back
Top Bottom