Jk anadesa kwenye vikao vya kimataifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk anadesa kwenye vikao vya kimataifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mupirocin, Feb 25, 2011.

 1. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nimekuwa nikimuangalia jk kwenye mikutano ya kimataifa anaonekana kama mtu ambaye haelewi yanayozungumzwa kiasi kwamba lazima akae na mtu karibu ili kudesa(kuigilizia au kutafsiliwa). Mfano ni mikutano miwili ambayo ni ule wa world economic forum Davos ambapo alikaa na mtaala kiingereza mh. Ben mkapa huku akionekana hajiamini, nyingine ni juzi hapa huko Ivory coast, wakati kikao kinaendelea anaonekana kumsumbua Mh. Ben Membe huku akionekana haelewi. Ninawasiwasi na uelewa wake kwenye international meeting. Au wanajamii mnamwonaje.
   
 2. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Inawezekana alianza siku nyingi.
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  kikwete%252Bmembe%252Bmkutano%252Bau.jpg
   
 6. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hilo liko wazi, haiwezekani hapa nyumbani anacheka cheka tu na kuzunguka point moja nusu saa halafu utegemee awe na akili tofauti katika vikao vya kimataifa ambavyo, marais wenzake na mawaziri wanasoma sana na wanaelewa mambo dunia nzima
   
 7. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,925
  Likes Received: 12,133
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 8. kyemo

  kyemo Senior Member

  #8
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapo ana wa kumdesea,akaamue aingie na karatasi ili adese kwenye karatasi!!!!
  Inaonekana kipindi akiwa chuo alikuwa anadesa sana,sasa si adese kwa maraisi wenzake wenye mafanikio wanafanikiwa vp kuinua uchumi wa nchi na wananchi wao!!!!!!!!!!
   
 9. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kama umewahi kumsikia akihutubia kwa kweli si mbaya kwa lugha ya kiingereza ila na wasiwasi kuwa alikuwa MDESAJI sana akiwa shule kiasi kwamba akiachwa mwenyewe hajiamini!
   
 10. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Jamaa amekuwa waziri wa mambo ya nchi za nje kipindi cha mkapa for 10 yrs, na mkapa mikutano kibao alikuwa anamuwakilisha mpaka mkapa mwenye akasema JK ni mashine nyingine. Hapo wataka kusemaje ? mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
   
 11. nginda

  nginda JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 745
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yes. Nimekuabali. He's so poor minded.
   
 12. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Amezoea kuandikiwa hotuba ambazo watz wanampigia makof hata akiongea pumba na ndo sabab issue ambazo ni critical huwa an adress wazee wa ccm Dar !! kwann hujiuliz why hajawah kuita wasomi wa vyuo vikuu na waandish habari akaongea nao??
  Huko kwenye vikao vya kimataifa hakuna wa kumpigia makof!!!!!!!!!!!!!!!
   
 13. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2011
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ... aagh!. The mada could be seen as a reflection of ones pettyness in that its all about an individual and thus the discourse should focus on ideas instead. You might think that I support what the man stands for. On the contrary! This same fellow has entered a second term of Presidency after all. Isnt that a milestone?. How he got there is not the issue. The fact remains that he got there and he is there presently. I am heading to a simple conclusion that whoever put this man in power is incredibly THICK and as witnesses, the price is being paid for. So if kudesa means one being an accomplished thick, he aint alone. Changanya na zake na walomchagua.
   
 14. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Natamani kufahamu Pres. Obama alikuwa anawaza nini?
   
 15. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  alikuwa anafikiria "hivi huyu jamaa kwao hakuna ma 'apples' nini, mbona katolea macho?....maana anachoongea mi hata sielewi....nimemuuliza kwa nini nchi yake masikini eti anasema hata yeye hajui...dah!"
   
 16. MST

  MST Member

  #16
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani msema kweli mpenzi wa Mungu! Lini na wapi Mkapa aliwahi kusema eti JK ni mashine nyingine? Tuache ushabiki. Kila mtu anajua kuwa IQ ya JK haifikii hata 50% ya Mkapa, pamoja na kuwa wote wana kale kaugonjwa cha kimaadili kinachojulikana kama ufisadi, ila pamoja na mapungufu yake Ben alikuwa intelligent. Kama utakumbuka vizuri Tim Sebastian alimvulia kofia katika Hard Talk (orijino) BBC kwani Mkapa alifanikiwa kujenga hoja yake vizuri pamoja na challenges. Sasa mi sijawahi kumwona JK katika debate show yoyote hata ya hapa nchini (refer debate shows za uchaguzi) sembuse ya huko nje! Yaani hii ndo Achilles heel ya JK kama mwanasiasa!
   
 17. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,982
  Likes Received: 20,377
  Trophy Points: 280
  Inachekesha kweli kwa sababu imekaa ki=ukweli
   
 18. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  we nawe usitake kutia watu hasira hapa?? mkapa lilivyo na maakili vile eti amsifie kilaza JK kuwa mashine?au mashine ya kuchakachua kura...hebu nipishe kule
   
 19. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280

  hahaaa kuna moja aliulizwa na SHAKA SALI wa VOA kwa nini TZ masikini akasema hajui kwa kweli kwa nini nchin hii ni masikini....nilitamani kuzirai
   
 20. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Acheni ushabiki, JK ni kilaza, hilo mbona liko wazi tu...
  Kama uliangalia vizuri mikutano ya World Economic Forum, huwezi kushangaa habari hii!!
   
Loading...