JK amteua Jaji Kiongozi mpya

Taratibu Gembe, nafasi hiyo uliyotaka hufanyiwa vetting kwanza na mafisadi je unao wa kukupigia debe?

Nani kiongozi wa Mafisadi hapa nchini?

Karibu Ban Ki- Moon nchini mwetu!
 

..website ya Tanganyika Law Society wanaeleza kwamba Jaji Fakihi Jundu alisajiliwa kama wakili wa mahakama kuu Dec 1994.

..habari iliyopo hapo juu inaelekeza kwamba mpaka October 12, 2002 Jaji Fakihi Jundu alikuwa bado hajateuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.
 
Nyie mnachokonoa nyoka mwishowe mtagundua miguu yake mpofuke:🙂
Huyo sasa Jundu na Mwilima! Kumbuka na ofisi zake zilikuwa Kariakoo.
 
Nyie mnachokonoa nyoka mwishowe mtagundua miguu yake mpofuke:🙂
Huyo sasa Jundu na Mwilima! Kumbuka na ofisi zake zilikuwa Kariakoo.

BB kuwa na ofisi K.Koo kwako Tatizo? maana umekuwa unarudia rudia as if K.KOO hapafai watz kufungua Ofisi zao...!!!
 
...nafahamu kwanini amemteua Jundu na kuruka wengine!!!! Mengine siyo ya kuweka hapa bure!!

... hiyo kesi ya pili ndiyo sababu ya Jundu kuteuliwa...!!!

Mwanzoni ulificha kwa vile unajua kesi ya Mlingwa na Kiula jaji Jundu hakuiamua "kama mwaka mmoja" uliopita, bali miaka minne kasoro mwezi iliyopita (April, 2005).

Kuna dalili nzito sana hapa kutuelekeza kufikiria kwamba inawezekana huyu mtu, Mwanakijiji, alileta habari iliyochochea hukumu kali, za haraka, shutuma za udini, za uzoefu mfupi, kwa kupotosha makusudi.

Aliambiwa yuko kwenye shimo, angeacha kuendelea kuchimba, lakini kashindwa kujizui kama alivyoahidi kuficha hicho kisiri cha jaji kuteuliwa kwa sababu ya kesi ya Mlingwa na Kiula.

Inawezekana maelfu ya Watanzania, kihatari, wanasoma waandishi wapotoshaji, wachochezi. Yalitokea Rwanda.
 
Last edited:

Damn! You are dramatic.....
 


Hii si mara ya kwanza kwa Mwanakijiji, remember he is on a mission.
 
..CV ya Jaji Jundu kabla hajateuliwa Jaji wa Mahakama Kuu.

..imepatikana kwa ku-google.

 

oh the master of hyperboles!
 
Uchochezi si mzuri Mwanakijiji, na ukiambiwa ukweli unachachawa kama uliyekunywa juice ya pilipili. Acha hizoooooo!
 

Acha kula matapishi Mkuu Jobo, NANI ANAMSHAMBULIA MTU HAPA?, HUU NI MJADALA. Kuna ukweli gani uliowazi, kinyume cha neno ukweli ni UONGO, katika ile mada kulikuwa hakuna ukweli ulio wazi. Soma post ya SMU uone alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu toka lini, halafu ndio useme kulikuwa na ukweli ulio wazi.

Toa jambo lililopo kwa aliyemwita Mwanakijiji MUONGO, na nilikuwa mimi. Sasa taja kuwa kuna JAMBO KATI YANGU NA MWANAKIJIJI, HATA NAYE ANAWEZA KUKUSAIDIA. Tatizo lako wewe (Jobo) na baadhi ya watu hapa huwa MNASOMA MAJINA BADALA YA POST, ndio mana nasema mKIKWAZO kwa JF. Ukiona jina Mwanakijiji hata kama kamwaga Pumba basi utakubali na kushabikia. Mwanakijiji huandika kimafumbo ili aweze kuruka, hata hii habari alianzisha ili kuikwepesha, huwezi leta habari ya kuambiwa ukafanya yako, na pia huwezi kuwa humjui mtu ukajifanya unamjua. Hivyo sasa anacheza na lugha, kutaka tuangalie ukweli na uongo katika ile post yake.

Ukisema Kikwete ni Mkwere, alikuwa Waziri wa mambo ya nje kabla ya kugombea urais, aliwahi kuwa Mwanajeshi, alifanya kazi za Chama Zanzibar, Tabora nk, fomu ya kwanza ya ujumbe wa NEC alipelekewa na Pius Msekwa akitumwa na Nyerere, aliwahi kuiba Kuku. Ikaja kujulikana kuwa hakuwahi kuiba Kuku, habari yote inaharibiwa na hilo la kusema uongo kuwa aliwahi kuiba kuku. Sasa Mwanakijiji usitake kutuondoa katika mada, hata kama unataka tukubali mengine yalikuwa kwel, ulitudanganya uliposema kuwa ana KAMA MWAKA tangu teuliwe jaji mahakama kuu. Na tukatumia muda kujadili hilo.

Tatizo ni laho hapa JF, usiseme "tatizo letu hapa JF".

Mada ni kuwa tulidanganywa, kuwa jamaa ana kama mwaka mmoja, tukajadili ikafikia mpaka watu wakageuza kuwa ya udini sababu tu ya kuonekana kwanini ateuliwe kwa kuwa na uzoefu wa "kama mwaka mmoja".
 

ok..very good.
 

Mkuu Mfumwa,
Niko pamoja na wewe kwani tulidanganywa ili malengo fulani yatimizwe. Ninakubaliana na wewe, mama na wengine kuwa aliyedanganya awe muungwana na akiri kosa lake.
Vinginevyo nafikiria kuanzisha mchakato wa impeachment dhidi ya yule aliyesema uongo na hataki kukubali.
 



Sasa Mkuu Mwanakijiji anataka kukwepesha mjadala, sio uzoefu, bali kwa hukumu ya Kiula. Hivi huyu ni muandishi makini kweli, mpaka mtu awe Jaji/Hakimu makini kazi yake ni kufunga ama kutia tu watu hatiani. Anataka kutueleza kuwa hawa jamaa walikuwa na makosa, mahakama haikutenda haki. AIBU!!!!

SMU.. hiyo kesi ya pili ndiyo sababu ya Jundu kuteuliwa...!!! Ni ujumbe umetumwa!!..

Baada ya lile la uzoefu na alilotaka liwe la kidini kuanza kuyeyuka (manake UWONGO siku zote hujitenga kwenye UKWELI). Sasa anasema kuwa Jaji Jundu kuteuliwa kwake ni sababu ya KESI YA KIULA. HUYU JAMAA anatia AIBU na kama si KICHEFUCHEFU. Anataka kugeuza MADA hivihivi.
 

Mkuu Pundamilia, ukweli keshauona, na kila wakati anajaribu kukwepa ili tutoke nje ya mada, ila tunajitahidi kuwa makini. KAMA ALIINGILIA "DIRISHANI" SASA TUNAMUONESHA MLANGO...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…