Naomba kujua dini ya Dr Migiro
Naomba kujua dini ya Dr Migiro
muislam,alishawahi hojiwa akasema hivyo.,na tutegemee yule mama anayemaliza ubalozi washington awe mkuu wa chuo alichosoma deogratius kisandu
Naomba kujua dini ya Dr Migiro
Ana masilahi na hiyo familia dada yake Mwantumu Malale ni mkuu wa chuo cha Kiislamu cha morogoro na uteuzi alifanya Jakaya na sasa Asha Rose Migiro ahsante baba kwa kuongeza koo zingine za upako toka saba sasa zimekuwa nane
Inabidi ufanye utafiti mdogo tu kisha utoe maoni yasiyoegemea upande wowote. Kufuatana na Tume ya Vyuo Vikuu hapa Tanzania(TCU), UDSM, OUT na Muhimbili 'status' yao ni 'accredited and chartered', SAUT ni 'chartered', UDOM ni 'full registration' na Tumaini - nafikiri una maana ya Dar- 'full registration' lakini katika kundi la vyuo vishiriki. Hapo amua mwenyewe..
Cheo alichopewa ni 'ceremonial' zaidi, si cha utendaji. Kuhusu uwezo wa OUT- angalia kwanza uwezo wa viongozi wake, wametoka wapi, wamefanya nini n.k ( Prof. Mmari, Prof. Mbwette n.k)
bopra angekubali kuwa balozi au hata basi awe tu consultant
hizi kazi za appointment wakati alishavuka levels zote ni aibu sana aisee
with all the UN experience, anaishia kwenda kufundisha OUT
i cant understand this woman
Thanks for correction... I meant kufanya kazi chuoniHapo kwenye RED naomba nikukosoe, Mkuu wa chuo hafundishi.
nani???????Okay sio mbaya lakini mbona kuna watu wengi tu wenye uwezo wa kuongoza taasisi kama hiyo kwani ilikuwa ni lazima apewe mama Migiro tu?? Mama Migiro katoka UN majuzi tu nadhani angepewa mtu mwingine.