JK amteua Dr Migiro kuwa Mkuu wa OUT

JK amteua Dr Migiro kuwa Mkuu wa OUT

Ongeza wigo kiduchu mkuu umefunguka kichoyo zaidi.

Utaratibu ni kuwa Chuo Kikuu kinavyoanzishwa kinapitia hatua mbalimbali za usajili ambazo ni Provisional licence, Provisional registration, Full registration, Accredited University na Accredited and Chartered University. 'Accredited University' hapa ndiyo chuo kinakuwa na uwezo wa kutoa shahada kwa kutumia jina lake yenyewe. 'Accredited and Chartered' hapa ni pale kinapokamilisha utaratibu wa kisheria wa kuthibitishiwa haki na wajibu wake. TCU inavipa madaraja vyuo vingine vya nje vinavyotaka kutoa masomo hapa nchini.

Prof. Mmari alikuwa VC UDSM, halafu akapelekwa OUT na baada ya kumaliza utumishi wa umma, sasa yupo Tumaini. Amefanya mengi kuifanya OUT isimame mpaka hapo ilipo. Pia Tumaini ipo ilipofikia kwa ajili ya uhodari wake.
Prof. Mbwette alikuwa kitivo cha uhandisi UDSM, akahamishiwa katika Kitengo cha chuo cha kufanya mabadiliko ya mfumo - 'transformation program unit'. Amefanya mengi kusaidia kuweka mipango ya kuongeza idadi wanachuo( vimbwette??)n.k

Akapelekwa OUT kama DVC na baadaye VC. Anaendelea kufanya mengi kuipanua, kuongeza wanafunzi, kuongeza kozi n.k
Tusidanganyike, shahada zinazotolewa pale ni kama nyingine zozote za kimataifa..
 
Taarifa imechafuliwa na hayo wa vyeo ucharwa ya gamabaz. Bora hata hiyo ya UN ingawa nako kaboronga. Huyu mama hakuna kitu ni zile 'Dr' bubu kama ya FASTJET
 
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

[TABLE="width: 655"]
[TR]
[TD]Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com
press@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425

[/TD]
[TD][/TD]
[TD]PRESIDENT’S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.

Taarifa iliyotolewa Dare Es Salaam na kutiwa saini leo, Jumatano, Januari 30, 2013 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue imesema kuwa uteuzi huo ulianza Alhamisi ya Januari 17, mwaka huu wa 2013.

Mheshimiwa Asha Rose Migiro ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Katibu wa NEC wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

Aidha, Dkt. Migiro amepata kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
IKULU
DAR ES SALAAM

30 Januari, 2013

Hapo penye nyekundu sijaelewa kama ndio vigezo vilivyopelekea Asha-Rose Migiro kuteuliwa kuwa mkuu wa chuo UDOM au? Nadhani ana vigezo vingi sana vya kitaaluma vilivyopaswa kuandikwa hapo, sio ujumbe wa NEC CCM, hata Khadija Kopa sijui alishawahi kuwa.
 
Tuache kutumia dini zetu kufikiria

Kachukua nafasi ya mkristo, JOHN MALECELLA. Ulitaka arudi tena mkristo?

Dini imeingiaje? Wapi tunakwenda watanzania.

Huyu Migiro mbona havai hijab/ninja si muislam kamili nn?
 
Hapo penye nyekundu sijaelewa kama ndio vigezo vilivyopelekea Asha-Rose Migiro kuteuliwa kuwa mkuu wa chuo UDOM au? Nadhani ana vigezo vingi sana vya kitaaluma vilivyopaswa kuandikwa hapo, sio ujumbe wa NEC CCM, hata Khadija Kopa sijui alishawahi kuwa.

Nadhani wamepitiwa kidogo ila walitakiwa pia wataje academic potential yake kama mwanazuoni aliyebeboa kiasi cha kustahili kupewa Chuo Kikuu kikubwa namna hii nchini ili akiongoze. Hongera zake!
 
Nakuhakikishia atakuwa ceremonial tu pale ila kutoa ushauri wa kiongozi ni sifuri!!! Hana uwezo huo!!! Aanbebwa tu lakini hana lolote!! Taasisi inayopanuka kwa kasi kama OUT!!! Ha ha ha!! Kasi ya Prof. Mbwete ataiweza? Mbwete has transformed OUT na mambo ni safi sana na kumepata record ya kimataifa!! Pole mama ile kazi ni ngumu kwako!!! Nepotism!!
 
Amfanye ata second wife au vice prezda I don't care mwisho 2015. Waliwazane kwa Mara ya mwisho.

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

[TABLE="width: 655"]
[TR]
[TD]Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com
press@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425

[/TD]
[TD][/TD]
[TD]PRESIDENT'S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.

Taarifa iliyotolewa Dare Es Salaam na kutiwa saini leo, Jumatano, Januari 30, 2013 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue imesema kuwa uteuzi huo ulianza Alhamisi ya Januari 17, mwaka huu wa 2013.

Mheshimiwa Asha Rose Migiro ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Katibu wa NEC wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

Aidha, Dkt. Migiro amepata kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
IKULU
DAR ES SALAAM

30 Januari, 2013
 
Nadhani wamepitiwa kidogo ila walitakiwa pia wataje academic potential yake kama mwanazuoni aliyebeboa kiasi cha kustahili kupewa Chuo Kikuu kikubwa namna hii nchini ili akiongoze. Hongera zake!

Cheo alichopewa sasa hivi ni cha kisiasa zaidi- kazi yake kuu ni kutoa shahada. Hakihitaji mtu aliyebobea katika masuala ya taaluma-kumbuka akina Al-noor Kassum(SUA), Malecela(OUT),Mwinyi(UDSM) n.k
 
kwani hizo title hazina kiswahili chake au mnawatangazia waingereza? ndo maana tu watumwa kwa kudharau vyetu-eti
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com
press@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]PRESIDENT’S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.

kwani hayana tafsiri ya kiswahili? Kalagabao[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
maamuzi mabovu au mazuri hayatokani na kuwa profesa-ni hekima na busara tu. Hata hivyo kuna washauri watakaotoa ushauri wao. Usihofu eh
 
wanapeana ulaji tu,lakini kutokana na huyu mama nafasi aliyokuwa nayo UN ningemshauri angepumzika akafanya shughuli nyingine..
 
kiswahili hakifau kutaja ofisi ya Rais?

Back
Top Bottom