Jk ametoa ndege bure kwenda india.

Bambanza jr.

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
355
36
Zikiwa zimebaki dakika chache kabla ya mgomo wa madaktari kuanza nchi nzima rais wetu ametoa nafasi kwa wagonjwa mahututi kupelekwa india ili kuepuka zakhama itakayowakuta wakati wa mgomo' huu ni upendo wa dhati Rahisi kutoa ndege yake tuliyoambiwa tutakula nyasi inunuliwe leo inatusaidia....! So wenye wagonjwa mtafuteni miss nkya na handsome mponda! Chi chi em oyeee...!
 
Sielewi na sipati picha ndege ya rais utapakia mahututi wangapi please huu mzaa sana sana.I hope this is a joke?
 
Sielewi na sipati picha ndege ya rais utapakia mahututi wangapi please huu mzaa sana sana.I hope this is a joke?
kuna rafiki yake anaitwa lowa usaha wa moi nduli amepiga mchakato! Itapakia wagonjwa kwa kujuana so nipm kama unaitaji chance...!
 
Habari hizo zilibebwa na moshi kutoka soko la samaki pale feri kupitia jengo jeupe na kumfikia bambanza jr.
 
Back
Top Bottom