Hang on !!!!!!!!! Rais yeyote ambaye sio fisadi watoto wake husoma ndani ya nchi tena shule za serikali huyu JE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Hofu ya JK kutokana na kipigo alichopata kwenye uchaguzi mkuu 2010 imemfanya ahamishe watoto wake wawili waliokuwa wanasoma shule maarufu ya St Patric hapa Arusha. Watoto hao sasa wamepelekwa kusoma nchini Malawi. JK kama mzazi alikuwa na mazoea ya kuja St. Patric mara kwa mara kuhudhuria sherehe mbalimbali mfano graduation. Ktk shule hii pia wanasoma watoto wa vigogo wengine wa serikali ya TZ wakiwemo watoto wa mafisadi. JK alisema eti Arusha ni mji wa vurugu hivyo usalama wa hao watoto wake utakuwa hatarini kama wataendelea kusoma hapo hasa baada ya Jimbo la Arusha mjini kutwaliwa na Mh. Godbless Lema. Huu ni uoga wa kijinga au tu ni mwendelezo wa maamuzi ya kukurupuka ya Mheshimiwa? Ukiona rais anaogopa sehemu fulani ya nchi yake ujue anataka kuchangia uasi ndani ya nchi yake kwani akili zake zinamwonyesha upinzani ni uadui. Na kwamba kuwa mpinzani basi wewe si raia wa TZ
you are almost out of topic....miji2 yenyewe ni ninyi!wenyewe kila day mnakabana huko!hata mimi ngoja nifate wakwangu akasome botswana mana wa2 wa pouda hamkawii kuwakaba watoto. Hamjapata urais mnatabu hvo.kiukwel mwisho wa cdm umekaribia. Kunadalili ya kuikata nch vipande vi nne au viwili. Chaga na meru,christ n islam, na tarime na dar, au mnaonaje?
Hofu ya JK kutokana na kipigo alichopata kwenye uchaguzi mkuu 2010 imemfanya ahamishe watoto wake wawili waliokuwa wanasoma shule maarufu ya St Patric hapa Arusha. Watoto hao sasa wamepelekwa kusoma nchini Malawi. JK kama mzazi alikuwa na mazoea ya kuja St. Patric mara kwa mara kuhudhuria sherehe mbalimbali mfano graduation. Ktk shule hii pia wanasoma watoto wa vigogo wengine wa serikali ya TZ wakiwemo watoto wa mafisadi. JK alisema eti Arusha ni mji wa vurugu hivyo usalama wa kwani huko kwake shule ya kata hakuna hadi waende malawi?
Miji2 yenyewe ni ninyi!wenyewe kila day mnakabana huko!hata mimi ngoja nifate wakwangu akasome botswana mana wa2 wa pouda hamkawii kuwakaba watoto. Hamjapata urais mnatabu hvo.KIUKWEL MWISHO WA CDM Umekaribia. Kunadalili ya kuikata nch vipande vi nne au viwili. Chaga na Meru,christ n islam, na Tarime na Dar, au mnaonaje?
umeonyesha upumbavu wako hadharani kabisaaaa!!Miji2 yenyewe ni ninyi!wenyewe kila day mnakabana huko!hata mimi ngoja nifate wakwangu akasome botswana mana wa2 wa pouda hamkawii kuwakaba watoto. Hamjapata urais mnatabu hvo.KIUKWEL MWISHO WA CDM Umekaribia. Kunadalili ya kuikata nch vipande vi nne au viwili. Chaga na Meru,christ n islam, na Tarime na Dar, au mnaonaje?
</p>Miji2 yenyewe ni ninyi!wenyewe kila day mnakabana huko!hata mimi ngoja nifate wakwangu akasome botswana mana wa2 wa pouda hamkawii kuwakaba watoto. Hamjapata urais mnatabu hvo.KIUKWEL MWISHO WA CDM Umekaribia. Kunadalili ya kuikata nch vipande vi nne au viwili. Chaga na Meru,christ n islam, na Tarime na Dar, au mnaonaje?
Acha uzushi hata aibu hauna. Taja majina ya watoto hao wa JK waliokuwa wanasoma AR. Ukikosa shibe usiwe unaota na kutoa maneno mbofu mbofuHofu ya JK kutokana na kipigo alichopata kwenye uchaguzi mkuu 2010 imemfanya ahamishe watoto wake wawili waliokuwa wanasoma shule maarufu ya St Patric hapa Arusha. Watoto hao sasa wamepelekwa kusoma nchini Malawi. JK kama mzazi alikuwa na mazoea ya kuja St. Patric mara kwa mara kuhudhuria sherehe mbalimbali mfano graduation. Ktk shule hii pia wanasoma watoto wa vigogo wengine wa serikali ya TZ wakiwemo watoto wa mafisadi. JK alisema eti Arusha ni mji wa vurugu hivyo usalama wa hao watoto wake utakuwa hatarini kama wataendelea kusoma hapo hasa baada ya Jimbo la Arusha mjini kutwaliwa na Mh. Godbless Lema. Huu ni uoga wa kijinga au tu ni mwendelezo wa maamuzi ya kukurupuka ya Mheshimiwa? Ukiona rais anaogopa sehemu fulani ya nchi yake ujue anataka kuchangia uasi ndani ya nchi yake kwani akili zake zinamwonyesha upinzani ni uadui. Na kwamba kuwa mpinzani basi wewe si raia wa TZ
bwahahahahahahahahahahaMimi mwenyewe nimewaamisha watoto wangu wawili walikuwa wanasoma Arusha, nimeona maendeleo yao sio mazuri kila siku fujo tu watoto wanashindwa kusoma vizuri wasije wakawapiga visu na maandamano yao
Miji2 yenyewe ni ninyi!wenyewe kila day mnakabana huko!hata mimi ngoja nifate wakwangu akasome botswana mana wa2 wa pouda hamkawii kuwakaba watoto. Hamjapata urais mnatabu hvo.KIUKWEL MWISHO WA CDM Umekaribia. Kunadalili ya kuikata nch vipande vi nne au viwili. Chaga na Meru,christ n islam, na Tarime na Dar, au mnaonaje?
Hofu ya JK kutokana na kipigo alichopata kwenye uchaguzi mkuu 2010 imemfanya ahamishe watoto wake wawili waliokuwa wanasoma shule maarufu ya St Patric hapa Arusha. Watoto hao sasa wamepelekwa kusoma nchini Malawi. JK kama mzazi alikuwa na mazoea ya kuja St. Patric mara kwa mara kuhudhuria sherehe mbalimbali mfano graduation. Ktk shule hii pia wanasoma watoto wa vigogo wengine wa serikali ya TZ wakiwemo watoto wa mafisadi. JK alisema eti Arusha ni mji wa vurugu hivyo usalama wa hao watoto wake utakuwa hatarini kama wataendelea kusoma hapo hasa baada ya Jimbo la Arusha mjini kutwaliwa na Mh. Godbless Lema. Huu ni uoga wa kijinga au tu ni mwendelezo wa maamuzi ya kukurupuka ya Mheshimiwa? Ukiona rais anaogopa sehemu fulani ya nchi yake ujue anataka kuchangia uasi ndani ya nchi yake kwani akili zake zinamwonyesha upinzani ni uadui. Na kwamba kuwa mpinzani basi wewe si raia wa TZ