JK alihamisha watoto wake St. Patric school Arusha baada ya uchaguzi 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK alihamisha watoto wake St. Patric school Arusha baada ya uchaguzi 2010

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MVUMBUZI, Jun 6, 2011.

 1. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Hofu ya JK kutokana na kipigo alichopata kwenye uchaguzi mkuu 2010 imemfanya ahamishe watoto wake wawili waliokuwa wanasoma shule maarufu ya St Patric hapa Arusha. Watoto hao sasa wamepelekwa kusoma nchini Malawi. JK kama mzazi alikuwa na mazoea ya kuja St. Patric mara kwa mara kuhudhuria sherehe mbalimbali mfano graduation. Ktk shule hii pia wanasoma watoto wa vigogo wengine wa serikali ya TZ wakiwemo watoto wa mafisadi. JK alisema eti Arusha ni mji wa vurugu hivyo usalama wa hao watoto wake utakuwa hatarini kama wataendelea kusoma hapo hasa baada ya Jimbo la Arusha mjini kutwaliwa na Mh. Godbless Lema. Huu ni uoga wa kijinga au tu ni mwendelezo wa maamuzi ya kukurupuka ya Mheshimiwa? Ukiona rais anaogopa sehemu fulani ya nchi yake ujue anataka kuchangia uasi ndani ya nchi yake kwani akili zake zinamwonyesha upinzani ni uadui. Na kwamba kuwa mpinzani basi wewe si raia wa TZ
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Ni kweli hadi mikutano ya East African Community anaipeleka Dar...

  Hajui in about 4 yrs atakuwa raia? hawezi kukimbilia Arabuni...
   
 3. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Bora amewaondoa na ni bora pia hatukuwastukia mapema,awahamishe kabisa hatutaki hata kumuona yeye mwenyewe
   
 4. M

  Murrah Senior Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hang on !!!!!!!!! Rais yeyote ambaye sio fisadi watoto wake husoma ndani ya nchi tena shule za serikali huyu JE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Basi na yale mahoteli waliyojenga Arusha wayabomoe au wayachukue watuachie mji wetu
   
 6. R

  Ray Isly Member

  #6
  Jun 6, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Miji2 yenyewe ni ninyi!wenyewe kila day mnakabana huko!hata mimi ngoja nifate wakwangu akasome botswana mana wa2 wa pouda hamkawii kuwakaba watoto. Hamjapata urais mnatabu hvo.KIUKWEL MWISHO WA CDM Umekaribia. Kunadalili ya kuikata nch vipande vi nne au viwili. Chaga na Meru,christ n islam, na Tarime na Dar, au mnaonaje?
   
 7. jockey emmanuel

  jockey emmanuel JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  you are almost out of topic....
   
 8. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Kaaya , mneki na mkuu wa Aicc ndiye alikuwa houseboy wa hao madogo.
   
 9. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,496
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280
  Mbumbumbu tu huyu hana japo tone la hekima na busara!
  Mbona Nyerere wakati wa vita ya kagera hakuwaficha nje wanae? Tena wengine alikubali waende front line kwenye vita!
   
 10. S

  Salimia JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Here we go!! wambeya naona mko kazini tena!! mko kwenye pay roll,, komaeni mazee, mtakula wapi? ulaji na mtaji ndo huu JK. Mmeishiwa kwelikweli chundu nyie
   
 11. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
   
 12. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Magamba crap!!!!!upo hapa au upo mahali unatupia kitu cha safari lager na network zinaonekana kuanza kukatika katika Kama umeme wa Tanesco?
   
 13. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  umeonyesha upumbavu wako hadharani kabisaaaa!!
   
 14. h

  hans79 JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  <p>
  </p>
  <p>&nbsp;</p> ushoga tu weye bundi
   
 15. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Mkikosa cha kuandika huwa mnakurupuka ili mradi tu muonekane mmeandika? mnanini nyinyi?
   
 16. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Acha uzushi hata aibu hauna. Taja majina ya watoto hao wa JK waliokuwa wanasoma AR. Ukikosa shibe usiwe unaota na kutoa maneno mbofu mbofu
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mimi mwenyewe nimewaamisha watoto wangu wawili walikuwa wanasoma Arusha, nimeona maendeleo yao sio mazuri kila siku fujo tu watoto wanashindwa kusoma vizuri wasije wakawapiga visu na maandamano yao
   
 18. S

  Salimia JF-Expert Member

  #18
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  bwahahahahahahahahahaha:)): wapashe walugaluga hao
   
 19. k

  kikule Senior Member

  #19
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Magamba memekuwa active kama viwavi jeshi.Ndivyo babu yenu msekwa amewapa vi min lap na vimodem ndo mnaongea kama kasuku.Ok pambavuuu!
   
 20. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #20
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Sasa nakumbuka Mwanzoni mwa mwaka mpya alifunga safari ya ghafla kwenda Malawi, ilikuwa safari ya siku moja na haikuelezwa kama ni ya kiserikali au la, kumbe ndio alikuwa anawapeleka watoto wake shuleni. Nakumbuka picha moja akiwa ikiwa Ikulu ya Mawazi kiongozi mmoja mwanamama mwandamizi alipiga magoti kumsalimi kilivyo utamaduni wa kiafrika.
   
Loading...