JK alihamisha watoto wake St. Patric school Arusha baada ya uchaguzi 2010

Miji2 yenyewe ni ninyi!wenyewe kila day mnakabana huko!hata mimi ngoja nifate wakwangu akasome botswana mana wa2 wa pouda hamkawii kuwakaba watoto. Hamjapata urais mnatabu hvo.KIUKWEL MWISHO WA CDM Umekaribia. Kunadalili ya kuikata nch vipande vi nne au viwili. Chaga na Meru,christ n islam, na Tarime na Dar, au mnaonaje?

Nadhani umebanwa na haja kubwa,kajisaidie kwanza ndo urudi kutoa hoja na usisahau kuchamba kama ilivyo kawaida yako, usije ukachafua hali ya hewa humu ndani!
 
Mimi mwenyewe nimewaamisha watoto wangu wawili walikuwa wanasoma Arusha, nimeona maendeleo yao sio mazuri kila siku fujo tu watoto wanashindwa kusoma vizuri wasije wakawapiga visu na maandamano yao

Ndio uliwatafutia passport za kuuza unga. Au kwenda kutafuta soko kwa sababu hapa Arusha halipatikani.
 
Hao ndo wachungaji wa mishahara, kwani hao wengine wanaosoma hapo shuleni wao shi watoto ati.
 
Hofu ya JK kutokana na kipigo alichopata kwenye uchaguzi mkuu 2010 imemfanya ahamishe watoto wake wawili waliokuwa wanasoma shule maarufu ya St Patric hapa Arusha. Watoto hao sasa wamepelekwa kusoma nchini Malawi. JK kama mzazi alikuwa na mazoea ya kuja St. Patric mara kwa mara kuhudhuria sherehe mbalimbali mfano graduation. Ktk shule hii pia wanasoma watoto wa vigogo wengine wa serikali ya TZ wakiwemo watoto wa mafisadi. JK alisema eti Arusha ni mji wa vurugu hivyo usalama wa hao watoto wake utakuwa hatarini kama wataendelea kusoma hapo hasa baada ya Jimbo la Arusha mjini kutwaliwa na Mh. Godbless Lema. Huu ni uoga wa kijinga au tu ni mwendelezo wa maamuzi ya kukurupuka ya Mheshimiwa? Ukiona rais anaogopa sehemu fulani ya nchi yake ujue anataka kuchangia uasi ndani ya nchi yake kwani akili zake zinamwonyesha upinzani ni uadui. Na kwamba kuwa mpinzani basi wewe si raia wa TZ
Mkuu namchukia Kikwete na CCM kwa ujumla lakini kwa hili sitakuunga mkono kwasababu umesema uongo, watoto wa JK mmoja alisoma mpaka akamaliza la saba na pale hakuna secondary ya wasichana hivyo asingeweza kusoma sekondari pale na wavulana si lazima ukisoma msingi Trust St Patrick lazima na Sekondari usome hapo na baada ya kumaliza la saba hapo Trust St Patrick alipelekwa Kifungiro Girls iliyoko Lushoto Tanga...Mtoto wa kiume alihamishwa miaka ya 2007 na si 2010 ulivyo sema na kulikuwa na sababu ya msingi ya kuhamishwa pale kwani nilishawahi kutaka kujua sababu ya kuhamishwa Trust St Patrick na Kupelekwa nje......Tufanye utafiti kabla ya kuleta mada vinginevyo tunaishusha JF...
 
Nimegundua kuna ccm viruses wengi sana especially walioingia humu kuanzia mwanzoni mwa mwezi wa tatu mpaka sasa ambao kwa akili zao na agenda zao za kiccm mi nshawasoma na nawasihi magreat thinker wenzangu hakuna haja ya kubishana nao maana ujue wanajaribu kubishana na sisi ili kututoa nje ya mada na sanasana kutuvuruga tuonekane machizi kama wao walivyotayari majuha.ccm hata mlete ligi ya dunia na sisi cdm mtaishia kama barcelona na manchester kwani hamna ladha tena wala mvuto.asanteni na karibuni jf the home of great thinkers where we dare to talk openly.
 
Nasikia umeachika wewe mwanamke wa CCM,umepewa taraka lini na NAPE?
 
Mimi mwenyewe nimewaamisha watoto wangu wawili walikuwa wanasoma Arusha, nimeona maendeleo yao sio mazuri kila siku fujo tu watoto wanashindwa kusoma vizuri wasije wakawapiga visu na maandamano yao

Mimi mwenyewe ningemwona mtoto wako ningempiga kisu cha maini afilie mbani kizazi haramu hicho hatukitaki huku kwa machalii
 
Miji2 yenyewe ni ninyi!wenyewe kila day mnakabana huko!hata mimi ngoja nifate wakwangu akasome botswana mana wa2 wa pouda hamkawii kuwakaba watoto. Hamjapata urais mnatabu hvo.KIUKWEL MWISHO WA CDM Umekaribia. Kunadalili ya kuikata nch vipande vi nne au viwili. Chaga na Meru,christ n islam, na Tarime na Dar, au mnaonaje?

Hakuna siku nitakuwa na furaha kama hii nchi itakapogawanywa hata vipande saba ili wajinga wakae kivyao na werevu wakae kivyao. Huu mchanganyiko wa kukaa na mazuzu ya ccm ndio unatu letdown. Huku wajanja tu ndio wanaishi. Hivyo vifaranga vya JK bora ameviondoa tungevikata kichwa.
 
Miji2 yenyewe ni ninyi!wenyewe kila day mnakabana huko!hata mimi ngoja nifate wakwangu akasome botswana mana wa2 wa pouda hamkawii kuwakaba watoto. Hamjapata urais mnatabu hvo.KIUKWEL MWISHO WA CDM Umekaribia. Kunadalili ya kuikata nch vipande vi nne au viwili. Chaga na Meru,christ n islam, na Tarime na Dar, au mnaonaje?

Wishful thinking!
 
Mkuu namchukia Kikwete na CCM kwa ujumla lakini kwa hili sitakuunga mkono kwasababu umesema uongo, watoto wa JK mmoja alisoma mpaka akamaliza la saba na pale hakuna secondary ya wasichana hivyo asingeweza kusoma sekondari pale na wavulana si lazima ukisoma msingi Trust St Patrick lazima na Sekondari usome hapo na baada ya kumaliza la saba hapo Trust St Patrick alipelekwa Kifungiro Girls iliyoko Lushoto Tanga...Mtoto wa kiume alihamishwa miaka ya 2007 na si 2010 ulivyo sema na kulikuwa na sababu ya msingi ya kuhamishwa pale kwani nilishawahi kutaka kujua sababu ya kuhamishwa Trust St Patrick na Kupelekwa nje......Tufanye utafiti kabla ya kuleta mada vinginevyo tunaishusha JF...

Crashwise @work big up....
 
Mkikosa cha kuandika huwa mnakurupuka ili mradi tu muonekane mmeandika? mnanini nyinyi?
Wewe nawe! sijakuona unajadili lolote humu ndani zaidi ya kudhurura kila thread kutetea kila jambo. Ndio ajira yako nini? ukikuta watu wakiwa barazani wanajadiliana hata kama mengine hayana tija we pita zako sio kila kitu kikuume na ujibishane nao. Au employer katoa sharti kuwa ikipita thread ya kuwasema usipojibu, no posho?
 
Hofu ya JK kutokana na kipigo alichopata kwenye uchaguzi mkuu 2010 imemfanya ahamishe watoto wake wawili waliokuwa wanasoma shule maarufu ya St Patric hapa Arusha. Watoto hao sasa wamepelekwa kusoma nchini Malawi. JK kama mzazi alikuwa na mazoea ya kuja St. Patric mara kwa mara kuhudhuria sherehe mbalimbali mfano graduation. Ktk shule hii pia wanasoma watoto wa vigogo wengine wa serikali ya TZ wakiwemo watoto wa mafisadi. JK alisema eti Arusha ni mji wa vurugu hivyo usalama wa hao watoto wake utakuwa hatarini kama wataendelea kusoma hapo hasa baada ya Jimbo la Arusha mjini kutwaliwa na Mh. Godbless Lema. Huu ni uoga wa kijinga au tu ni mwendelezo wa maamuzi ya kukurupuka ya Mheshimiwa? Ukiona rais anaogopa sehemu fulani ya nchi yake ujue anataka kuchangia uasi ndani ya nchi yake kwani akili zake zinamwonyesha upinzani ni uadui. Na kwamba kuwa mpinzani basi wewe si raia wa TZ

Unaipa umaarufu wa bure. Umaarufu wa hii shule ulishakwisha, pengine ndiyo sababu ya JK kuhamisha watoto wake.
Binafsi ilibidi nihamishe wanangu baada ya kugundua kuwa wanalazimishwa kudeki maji-taka yanayotitirika hovyo shuleni hapo na kuishia kupata typhoid na amoeba.
Watoto wa jirani yangu wanaporudi likizo utawahurumia walivyokonda...kama vile wana kwashakoor.
Sina nia ya kuiharibia biashara hii shule lakini yeyote anayetaka kupata picha waone watoto wake wanapopata likizo, utatamani kulia.
 
sio lazima upost wewe tu kila siku. kuna majukwaa mengine kama EDUCATINO, SCIENCE & TECHNOLOGY FORUMS, unaweza kutembelea na kujifunza vitu ambavyo vinaweza kukusaidia katika maisha yako zaidi ya umbea unaopiga hapa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom