meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
kwa kuwa amejiridhisha kuwa hali ya arusha kwa sasa ni shwari ,nategemea vijana watarudi kwenye shule waipendayo ya st patrick.
Hang on !!!!!!!!! Rais yeyote ambaye sio fisadi watoto wake husoma ndani ya nchi tena shule za serikali huyu JE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Daaaaaah ! Yaaani kama kwa bomu la juzi tunakamata kininja katoto kake kamoja na Alafu tunatoa Tangazo tutafutie alielipua bomu na kupiga risasi na sisi tukupe mwanao....
Angekufa kwa Presha !