Malunde-Malundi
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 1,288
- 130
Kuna kundi dogo la akina makamba ambalo linafaidika na katiba iliyopo ndio kikwazo kwa uamuzi ambao kikwete ameshaukubali wa kuunda katiba mpya; anataka akumbukwe walau kwa hilo maana peoples power imeshinda uwezo kwa hoja; sasa pinda katumwa ili aanze kulainisha mambo; ili wenye vichwa ngumu wakubaliane