Jk akubali katiba mpya-imeelezwa

Malunde-Malundi

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
1,288
130
Kuna kundi dogo la akina makamba ambalo linafaidika na katiba iliyopo ndio kikwazo kwa uamuzi ambao kikwete ameshaukubali wa kuunda katiba mpya; anataka akumbukwe walau kwa hilo maana peoples power imeshinda uwezo kwa hoja; sasa pinda katumwa ili aanze kulainisha mambo; ili wenye vichwa ngumu wakubaliane
 
Source pls!
 
Kama habari ni ya kweli sitashangaa maana yeye ni lame duck sasa hivi kwa hiyo hataathirika wala kunufaika nayo.
 
source watu walio ikulu, mhimu watanzania wanaandaliwa kuamini CCM ndio chanzo cha katiba. Ila uzuri watanzania wote wanajua ya kuwa Ushindi wa Slaa 2010 ndio chanzo cha katiba mpya maana hata JK aliona walimuachia yeye na familia yake
 
kama kweli then big up to him, at least itamletea heshima na kutupoza vidonda vya ufisadi wake.
 
Jk aijifanye tuamini kuwa serikali itasimamia kazi ya katiba mpya. Na tukiiachia serikali ya Jk kazi hiyo anaweza kuchakachua katiba. kama walikuwa wanakataa mwanzoni huu uungwana wa kukubali umetoka wapi?
 
mchakato wa kuipata ufanyike kwa kuusanya maoni kutoka kwa wananchi kama walivyofanya kenya, ili isijekua ni ku copy and paste from ccm.
 
Kuna kundi dogo la akina makamba ambalo linafaidika na katiba iliyopo ndio kikwazo kwa uamuzi ambao kikwete ameshaukubali wa kuunda katiba mpya; anataka akumbukwe walau kwa hilo maana peoples power imeshinda uwezo kwa hoja; sasa pinda katumwa ili aanze kulainisha mambo; ili wenye vichwa ngumu wakubaliane

With an ENTIRELY People-Centred processes of Re-Writing a New Constitution for our beloved country TANZANIA, a lasting Kikwete-LEGACY is, in deed, a matter of a greater possibility.

Sure, it will even be understandable when we too become old and start re-telling the history of our country and possibly make a SAFE escape from the HOT-RED TRUTH that 'Once upon a time in 2010, even though President Kikwete and his ilks chose to STEAL away our rights to elect leaders of our own choosing, however, later on we came to realise that HE INDEED had an un-complete business that he just had to accomplish before he could possibly dash to a life after.

Even me who BADLY DISSAPPROVE of what he and his party CCM had to do with our 2010 general elections would at least seek to come to his defence the WORST VOTE-STEALING STAIN notwithstanding. Yes, I would start by telling my grand children that the very business that President Kikwete had to accomplish - come rain come sun-shine - was a WELL INTENTIONED ONE though.

That he has simply sought for another opportunity to let HIS ORDINARY Tanzanians to DIRECTLY PARTICIPATE in Overhauling and Re-writing themselves a new constitution'. And that that is the explanation behind the reality that you (grandchildren) are so handsome and you because you breath the fresh air of a new Kikwete-Constituton and back to my side, I rather look so ugly and too old to be able to help myself because I had to allow a STALE constitution to suffocate me with sewerage type of air.

Don't you think this way the history of our country during the fourth-phase government would become tellable to an attentive audience of grandchildren??? Man, the opportunity never come twice!! Your LEGACY today or NONE in future!!!
 
I do not want to waste a minute believing that it will happen, I WANT TO SEE IT HAPPENING! and nothing less!
 
what we want is him personaly to speak out, and not others who ar telling us on his behalf. I m not sure of what has ben said about him, because in coart of law, he cant be sued of what he never said. I think is time for him to speak out and tell us, if is with us or not toward this movement of new constitution of our beloved country which we inherited from our grand parents. Viva tanganyika, viva el nuevo constitution.
 
Jk na serikali yake ya sisiem hawana namna lazima wasikilize sauti zilizoongezeka za kudai katiba mpya. Vinginevyo, damu ya wanyonge itamwagika mikononi mwao.
 
kama kweli then big up to him, at least itamletea heshima na kutupoza vidonda vya ufisadi wake.

Mwanangu hata mimi kama ni kweli nitamuunga mkono na kusahau yote yaliyo pita atakumbukwa kwa uamuzi huo mgumu tutaweka sanamu yake mnazi mmoja kama SHUJAA WA TANGANYIKA!
 
hakuna kitu mkwere akubali suala la katiba kirahisi hivi unaota kweli wewe..Yaani hapa ni kufanya uprising na kuweka mbinyo mwanzo mwisho mpaka katiba iandikwe upya ndo kitaeleweka
 
what we want is him personaly to speak out, and not others who ar telling us on his behalf. I m not sure of what has ben said about him, because in coart of law, he cant be sued of what he never said. I think is time for him to speak out and tell us, if is with us or not toward this movement of new constitution of our beloved country which we inherited from our grand parents. Viva tanganyika, viva el nuevo constitution.

Hata kuongea personally hakutoshi. unakumbuka aliposema kwamba kwenye utawala wake hatakumbatia mafisadi? yako wapi sasa, mbona anaendelea tu kuwakumbatia na wala hajafanya lolote? kwa hili bado nina mashaka kuongea tu hakutoshi kwa hiyo wanaharakati na asasi mbalimbali waendelee kulivalia njuga kwa nguvu zote!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom