TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,564
Hilo la kusema ni mitandao ndio inachochea uadui kati ya tanzania na rwanda mwandosya kadanganya kama kweli kasema hivyo!!!
Viongozi wa rwanda na hotuba zao,maneno yao na magazeti yao ndio waliosababisha kuongezeka kwa uadui hasa.Hizo zingine kama mwandosya kasema ni porojo au mazungumzo baada ya habari.
Kwahiyo tumuamini nani kati ya wewe na Mwandosya?