TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,564
sio lazima jk kwenda kwa adui yetu namba moja kwa sasa kagame. au wewe humpendi rais wetu unataka wakamdhuru hao wauwaji warwanda? cc tunampenda rais wetu. je wewe ukiwa na uhasama na mtu unaweza kwenda nyumbani kwake ukajinafasi huogopi???
Fast-jet ndiye mwenye matatizo na serikali ya Rwanda sisi Watanzania wala hatuna matatizo na Kagame ndiyo maana Mkapa ameenda.