JK akosekana maadhimisho ya kimbari - Kigali, Rwanda

JK akosekana maadhimisho ya kimbari - Kigali, Rwanda

Safi sana JK. Hawezi kuhudhuria maombolezo ya vifo vya kimbari kwa mauaji yaliyofanywa na Kagame mwenyewe

Ni kweli, Kagame ni blood thirsty yule, kama aliweza kumwua rais wake ili aingie madarakani atashindwa nini kumwekea mtego rais wetu na kumwua kwa vile hana undugu naye badala yake anamwona anahatarisha ufalme wake. Bravo JK, tunakupenda rais wetu
 
..JK hatakiwi Rwanda...hama hamjajua tu wabongo....Kagame hapendi wanafiki....kauli za kinafiki za JK zimemponza...Watanzania msijidanganye kuwa oh Rwanda haina matatizo na JK.....nop....matatizo yapo ya kidiplomasia...na ugomvi ni kati ya Rwanda na JK(si TZ)....

Mnafiki wewe na Kagame wako. Huna hata haya! Unafiki gani wa JK kama sio Kagame wako anayeua watu wake wanakimbia nchi yao! Huna akili wewe
 
Mkuu Kagame is on record kwa kusema atamfanyizia Kikwete, na haja withdraw statement hiyo.
Akienda huko na akiwekewa sumu kwenye chipsi utasemaje?

Mkuu hawa wanaolalamika Jk kutoenda kule hawamtakii mema. Kagame ni blood thirsty yule. Anaua na hataniii. Kama mna uchungu sana nendeni tatizo nini??? Mwacheni rais wetu tunaompenda tupo wengi sana, ninyi kaeni na chuki zenu na PK wenu
 
Back
Top Bottom