JK akosekana maadhimisho ya kimbari - Kigali, Rwanda

JK akosekana maadhimisho ya kimbari - Kigali, Rwanda

WAAFRIKA TUTACHONGANISHWA/GOMBANISHWA/FITINISHWA HADI LINI?......AFRICA UNITE.....
Cause we're moving right out of Babylon,
And we're going to our Father's land....SUMU ZA CHUKI TUNALISHWA NA WAZUNGU ILI WATUUZIE SILAHA ZAO TUUWANE,HALAFU VIZAZI VYAO VINUFAIKE NA BARA LA AFRICA.....MUNGU IBARIKI AFRIKA.
​
 
Another hateful Hutu in the Tanzania's clothing.You are wasting your precious time guys by trying to bullshit us into supporting your stupid agenda you are planning against your own country.Another thing,Stop calling me Tutsi coz you are not my parent to decide for my nationality.Am a Tanzanian who dont want to see my country Tanzania being sucked into your stupid worthless war you are thinking of.
..Teknolojia, hasira zote hizi za nini??...you too are not my parent to call me a hutu.. by the way it is not a surprise coz hata Kikwete na Mama Salma Kikwete mliwapachika uhutu. Pia, kwani wahutu sio watu?....unajua why I thought you are a tutsi; get it from a saying that goes like this: "Show me your friends and I will tell you who you are".... your comments here expose you as an extreme tutsi and not a Tanzanian as you claim to be!...... Sorry if you are not an extreme tutsi, and if you are really a Tanzanian then mmmh.... hivi hizi chokochoko zote si alizianzisha Kageme? Kama kweli wewe ni Mtanzania would you stand for someone who hurls insults to President Kikwete? Are you for real? Nahisi hujitambui!.... Tanzanians have been peace lovers and we shall remain so; BUT, no FOOL / IDIOT will insult our President na sisi tukae kimya... it will never happen!....Nani aliyesema anataka nchi yetu inataka kujiingiza kwenye vita? Ref yr statement "...my country Tanzania being sucked into your stupid worthless war...." ....anyway, you are lucky I responded to your comments...Have a good day
 
Harakisheni kabla JK hajatoka madarakani kwasababu akitoka tu ndo basi tena urafiki wetu na Rwanda utarudi pale pale tena utakuwa imara kuliko ilivyowahi kutokea.Cry me a river teh teh teh

Watanzania inaonyesha huwajui vizuri.Watanzania walikuwa wanawapenda sana wanyarwanda.Miaka yote tokea kabla ya uhuru,wakati wa nyerere,Mkapa na Mwinyi na awamu ya kwanza ya Kikwete.Kilichotokea awamu hii niseme ni failure ya foreign politics ya viongozi wa sasa wa Rwanda.Siasa ya nje ya Rwanda ya si nzuri.Ufaransa wanagombana,kongo wanagombana,Tanzania wanagombana,South Africa wanagombana sera gani uchwara hii ya nje ya ugomvi na mavita kila eneo? Wenye uwezo wa kuweka vizuri sera nje hawaweki.

Ukienda ndani ugomvi na majenerali wenzie na kuwatimua hovyo umejaa.Wakuu wa majeshi ya ulinzi na usalama sio machangudoa unaoweza kuwaweka leo jioni na kesho asubuhi unawaamsha kitandani unawaambia haya vaa magwanda haraka nimeshamaliza na wewe naleta mwingine kitandani wewe kwenda huko kafie huko na kuwafanya wakimbizi na kusababisha mifumko ya wakimbizi nchi za wenzio.

Ndani pia inabidi aimarisha democracy kupunguza kutoridhika kwa walio wengi ndani ya Rwanda ili kupunguza maadui na kuipa nafasi Rwanda ijijenge.

Uhusiano na Rwanda hautegemei Kikwete ni sera ya nchi ila kwa kuwa Rwanda ni sera ya Kagame ndiyo inaamua Kagame ana uwezo wa kuamua uhusiano na tanzania uweje basi akiondoka Rwanda wakaweka sera nzuri za nchi za nje basi uhusiano na tanzania na rwanda utakaa vizuri.Lakini Kikwete hata akiondoka kama Rwanda Itaendelea na srera zake mbovu za ndani na nje zinazoleta madhara kwa tanzania hakuna uhusiano utakaoimarika.

KWA UFUPI SERA ZA NDANI NA NJE ZA KAGAME ZINAZALISHA MAADUI WENGI WA NDANI NA NJE DHIDI YA RWANDA.SERA ZAKE NI BREEDING GROUND YA MAADUI
 
usalama ndg,hizi nchi hazina maelewano mazuri so intelijensia ya tz inapata tabu kumpitisha rais wetu anga ya rwanda !lakn pia hapa tz kulikuwa na kumbkumbk ya mzee karume hvyo presidnt asingeweza toka aache tukio muhm ktk nchi yke na ictoshe wazanzibar wasingependa...oon n.k

Angalizo imetokea nn hata JK akose kutuwakilisha? pia tunajua ni kiongozi mpenda kusafiri kila uchao[/QUOTE]
 
Arcbarld, Rwandans are our beloved brothers and sisters even if these politicians perish. Instabilities of Great lakes Regional is due to political mongers supported by Western countries
 
lazima umtetee si mtusi mwenzako. ila dunia nzima inamjua huyo ni dikteta na muuaji. fatilia speech za presidaa wa south africa utamujua kagame mnyama kiasi gani

Dunia nzima ilikuwa kigali jana. Sasa sijui wewe uko sayari gani.
 
Watanzania inaonyesha huwajui vizuri.Watanzania walikuwa wanawapenda sana wanyarwanda.Miaka yote tokea kabla ya uhuru,wakati wa nyerere,Mkapa na Mwinyi na awamu ya kwanza ya Kikwete.Kilichotokea awamu hii niseme ni failure ya foreign politics ya viongozi wa sasa wa Rwanda.Siasa ya nje ya Rwanda ya si nzuri.Ufaransa wanagombana,kongo wanagombana,Tanzania wanagombana,South Africa wanagombana sera gani uchwara hii ya nje ya ugomvi na mavita kila eneo? Wenye uwezo wa kuweka vizuri sera nje hawaweki.

Ukienda ndani ugomvi na majenerali wenzie na kuwatimua hovyo umejaa.Wakuu wa majeshi ya ulinzi na usalama sio machangudoa unaoweza kuwaweka leo jioni na kesho asubuhi unawaamsha kitandani unawaambia haya vaa magwanda haraka nimeshamaliza na wewe naleta mwingine kitandani wewe kwenda huko kafie huko na kuwafanya wakimbizi na kusababisha mifumko ya wakimbizi nchi za wenzio.

Ndani pia inabidi aimarisha democracy kupunguza kutoridhika kwa walio wengi ndani ya Rwanda ili kupunguza maadui na kuipa nafasi Rwanda ijijenge.

Uhusiano na Rwanda hautegemei Kikwete ni sera ya nchi ila kwa kuwa Rwanda ni sera ya Kagame ndiyo inaamua Kagame ana uwezo wa kuamua uhusiano na tanzania uweje basi akiondoka Rwanda wakaweka sera nzuri za nchi za nje basi uhusiano na tanzania na rwanda utakaa vizuri.Lakini Kikwete hata akiondoka kama Rwanda Itaendelea na srera zake mbovu za ndani na nje zinazoleta madhara kwa tanzania hakuna uhusiano utakaoimarika.

KWA UFUPI SERA ZA NDANI NA NJE ZA KAGAME ZINAZALISHA MAADUI WENGI WA NDANI NA NJE DHIDI YA RWANDA.SERA ZAKE NI BREEDING GROUND YA MAADUI

Mimi siyo Intelligentsia ila kwa kusoma maandiko yako hapo juu ninapata hisia kama si uhakika kuwa wewe Mnyarwanda mwenye asili ya Hutu,Watanzania hawana muda huo wa kujikita kwenye matatizo ya ndani ya rwanda tena ukiwa na hisia kali hivyo,Watanzania tuna mambo yetu tunayahangikia sasa hivi kama vile suala la katiba mpya na matatizo mengine mengi tu.Kwakweli hatuna muda wa kuifikiria Rwanda kabisa kwanza matatizo ya kisiasa yanayotokea Rwanda yanatokea sehemu zote Duniani Tanzania ikiwemo.Mbona sisi tumewapoteza akina Kombe,Kolimba,Mwangosi,Sokoine na wengineo wengi tu chini ya utawala wa Chama Cha Mapinduzi lakini hakukuwepo na kelele za kuwapeleka hawa viongozi the Hague isipokuwa Kagame tena kutoka kwa watu ambao IDs zenu zinajulikana sana humu jukwaani kwa chuki zenu dhidi ya Watusi?
 
Kwa mujibu wa shirika la utangazaji la Uingereza (BBC) jina la JK halimo kwnye orodha ya viongozi wa taifa wanaohudhuria kumbukumbu ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari - Rwanda. Baadhi ya viongozi waliohudhuria ni Mkapa, Kenyatta, Ally Bongo, Ban ki Moon n.k

Angalizo imetokea nn hata JK akose kutuwakilisha? pia tunajua ni kiongozi mpenda kusafiri kila uchao
Mkuu Kagame is on record kwa kusema atamfanyizia Kikwete, na haja withdraw statement hiyo.
Akienda huko na akiwekewa sumu kwenye chipsi utasemaje?
 
Dunia nzima ilikuwa kigali jana. Sasa sijui wewe uko sayari gani.

Jamani hata mkiwa washabiki wa Rwanda punguzeni uongo.Hivi kufika kigali mfano viongozi wa nchi ishirini unaweza kusema dunia nzima ilikuwa kigali? Unanikumbusha usemi usemao maskini akipata......Kuna watu huwa wakitembelea kigali wanarudi Tanzania wanabwata Rwanda kumeendelea utadhani Kigali ndio Rwanda nzima.

Pia imenikumbusha harusi moja kijijini iliyohudhuriwa na vijiji vya jirani Bwana harusi kwa kujitapa akasema harusi ilihudhuriwa na dunia nzima
 
We can not risk loosing our numbre uno , hii post inanikumbusha jinsi kagame alivyoepa ile miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika, sikumuona na hatukulialia on media...
 
,Watanzania tuna mambo yetu tunayahangikia sasa hivi kama vile suala la katiba mpya na matatizo mengine mengi tu.Kwakweli hatuna muda wa kuifikiria Rwanda kabisa kwanza matatizo ya kisiasa yanayotokea Rwanda yanatokea sehemu zote Duniani Tanzania ikiwemo.Mbona sisi tumewapoteza akina Kombe,Kolimba,Mwangosi,Sokoine na wengineo wengi tu chini ya utawala wa Chama Cha Mapinduzi lakini hakukuwepo na kelele za kuwapeleka hawa viongozi the Hague isipokuwa Kagame tena kutoka kwa watu ambao IDs zenu zinajulikana sana humu jukwaani kwa chuki zenu dhidi ya Watusi?

We mtoto wa CHADEMA. Tatizo la Chadema wala si katiba mpya wala vifo vya hao uliowataja Tatizo la CHADEMA kwa sasa ni kushindwa mfululizo kwenye chaguzi.Mmmepigwa ngwala kalenga sasa hivi chalinze.

How do you feel after defeat naonma mko kimya sana humu jamii forums kila wakati ilikuwa makele makamanda wa CHADEMA kwenda vitani chaguzi nndogo n.k saa hizi mko kimya utafikiri hampo 2015 MHESABU MAUMIVU nyie na wahamiaji haramu waliojiunga na chama chenu wanaoishi mikoa ya mipakani na kujifanya watanzania wewe ukiwemo.
 
Kwa mujibu wa shirika la utangazaji la Uingereza (BBC) jina la JK halimo kwnye orodha ya viongozi wa taifa wanaohudhuria kumbukumbu ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari - Rwanda. Baadhi ya viongozi waliohudhuria ni Mkapa, Kenyatta, Ally Bongo, Ban ki Moon n.k

Angalizo imetokea nn hata JK akose kutuwakilisha? pia tunajua ni kiongozi mpenda kusafiri kila uchao

Ina wezekana hajaalikwa je?!!! Who knows!!!

Kwa kuwa hatuna facts mwanzo mwisho, hii post itaishia kwenye guess works tu!!
 
Kwa mujibu wa shirika la utangazaji la Uingereza (BBC) jina la JK halimo kwnye orodha ya viongozi wa taifa wanaohudhuria kumbukumbu ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari - Rwanda. Baadhi ya viongozi waliohudhuria ni Mkapa, Kenyatta, Ally Bongo, Ban ki Moon n.k

Angalizo imetokea nn hata JK akose kutuwakilisha? pia tunajua ni kiongozi mpenda kusafiri kila uchao

Maadam nasikia Ujumbe wa Tanzania umewajumuisha Rais wa zamani Benjamin Mkapa na Serikali imewakilishwa na Waziri Mwandosya siyo hatua mbaya. Hata hivyo ni natumaini Tanzania itarudisha mahusiano mazuri na Rwanda na majirani wengine baada ya Utawala wa Kikwete.
 
Hata hivyo ni natumaini Tanzania itarudisha mahusiano mazuri na Rwanda na majirani wengine baada ya Utawala wa Kikwete.

Sielewi kwa nini umesema mahusiano yatarudi baada ya kikwete kuondoka kwa nini usiseme baada ya kagame kuondoka? Anyway uko huru kusema hivyo lakini nitoe angalizo Kikwete ndiye Raisi pekee toka Tanzania ipate uhuru ambaye hajui mgumu kuchukia na kila wakati anacheka. Kama mtu kashindana na Kikwete akitegemea anayekuja ana nafuu imekula kwake watanzania wanataka raisi ajaye awe tofauti na kikwete.Kikwete akiondoka huyo atakayekuja ni mwehu hajui kucheka wala kumchekea mtu na kama alivyosema Kikwete kuna watu watamkumbuka wanyarwanda wakiwemo.Huyo ajaye Rwanda isiwe na matumaini makubwa labda Kagame naye awe kaondoka waongee viongozi wapya watupu.Uraisi pia ujue ni tasisi Kikwete akiondoka ile taasisi iliyokuwa ikimshauri,kuelekeza na kuongoza iko pale pale usisahau hilo.
 
We mtoto wa CHADEMA. Tatizo la Chadema wala si katiba mpya wala vifo vya hao uliowataja Tatizo la CHADEMA kwa sasa ni kushindwa mfululizo kwenye chaguzi.Mmmepigwa ngwala kalenga sasa hivi chalinze.

How do you feel after defeat naonma mko kimya sana humu jamii forums kila wakati ilikuwa makele makamanda wa CHADEMA kwenda vitani chaguzi nndogo n.k saa hizi mko kimya utafikiri hampo 2015 MHESABU MAUMIVU nyie na wahamiaji haramu waliojiunga na chama chenu wanaoishi mikoa ya mipakani na kujifanya watanzania wewe ukiwemo.

Mkuu nadhani ya Watanzania tuachie tutayamaliza sisi wenyewe. Hayakuhusu.
 
Sielewi kwa nini umesema mahusiano yatarudi baada ya kikwete kuondoka kwa nini usiseme baada ya kagame kuondoka? Anyway uko huru kusema hivyo lakini nitoe angalizo Kikwete ndiye Raisi pekee toka Tanzania ipate uhuru ambaye hajui mgumu kuchukia na kila wakati anacheka. Kama mtu kashindana na Kikwete akitegemea anayekuja ana nafuu imekula kwake watanzania wanataka raisi ajaye awe tofauti na kikwete.Kikwete akiondoka huyo atakayekuja ni mwehu hajui kucheka wala kumchekea mtu na kama alivyosema Kikwete kuna watu watamkumbuka wanyarwanda wakiwemo.Huyo ajaye Rwanda isiwe na matumaini makubwa labda Kagame naye awe kaondoka waongee viongozi wapya watupu.Uraisi pia ujue ni tasisi Kikwete akiondoka ile taasisi iliyokuwa ikimshauri,kuelekeza na kuongoza iko pale pale usisahau hilo.

Kikwete anaondoka madarakani mwakani. Unajua Kagame anaondoka lini?
 
Kiongozi what important issues may I ask? Are you referring to that communist Zanzibari dictator that lived and died by the gun? How can you equate the demise of one commie to over a million people slaughtered senselessly in their own country? Tafadhali mkuu, this is indefensible.
it is absurd to commemorate such a dark event, it has no positive significance especially in this Era
 
Hata mimi ningekuwa Rais nisingeenda, namuunga mkono JK.
Kwanza Kagame ilibidi aueleze ulimwengu yeye alikuwa wapi wakati mauaji yanaanza? Jibu: Alikuwa msituni akipigana vita na Serikali halali iliyokuwepo madarakani.
Sasa kama alikuwa msituni akiendeleza uasi, angepata tabu gani kuitungua ndege iliyombeba mbaya wake (Rais wa Rwanda wa enzi hizo)? Obviously yeye Kagame ndiye mwanzilishi wa mauaji hayo ya kimbali, iweje sasa ajifanye kuomboleza kinafiki? Ni unafiki huu huu ndio umesababisha hata Mh Balozi wa Ufasansa nchini Rwanda tena mwenye makazi yake hapo hapo Kigali, kilomita chache kutoka uwanja wa maadhimisho, asiende kwenye maadhimisho hayo kwavile anaujua unafiki wote wa Kagame. Big up JK.
 
Back
Top Bottom