JK akosekana maadhimisho ya kimbari - Kigali, Rwanda

JK akosekana maadhimisho ya kimbari - Kigali, Rwanda

You can twist the facts the way you like but nothing will change,Tanzania have no problems with Kagame it's Kikwete.
....Hey, if Kikwete has got problem with Kageme, then Tanzania has a problem with Kagame, or rather kigali administration...how dare you can separate our President from us, Tanzanians??
 
jMali ndugu yangu hivi huoni umuhimu wa Rais Kikwete kwenda kuhudhuria maadhimisho nyeti kama yale? Hasa hasa baada ya vita vya maneno kati ya nchi zetu hizi mbili hivi karibuni? Kama kweli yeye ni mstaarabu na anaamini katika kusuluhisha migogoro kwa njia ya amani kwa nini hakuonyesha mfano wa ujirani mwema katika hili? Nikiwa mwana CCM na mtanzania nimesikitishwa na kitendo hiki cha Rais JK kutokwenda Kigali.

sema ukiwa mtutsi extremist unaeishi Tanzania! hiyo sherehe ni muhimu kwenu si kwa wote. who do you guys think you are mpaka muanze ku-dictate rais wetu ahudhurie sherehe ipi na aache ipi? hata tusingetuma ujumbe wowote, it wouldn't have meant anything diplomatically.
kwani kagame mara ya mwisho lini kuhudhuria sherehe zetu za uhuru? mbona anatuma tu mabalozi na hatusemi kitu?
 
WAAFRIKA TUTACHONGANISHWA/GOMBANISHWA/FITINISHWA HADI LINI?......AFRICA UNITE.....
Cause we're moving right out of Babylon,
And we're going to our Father's land....SUMU ZA CHUKI TUNALISHWA NA WAZUNGU ILI WATUUZIE SILAHA ZAO TUUWANE,HALAFU VIZAZI VYAO VINUFAIKE NA BARA LA AFRICA.....MUNGU IBARIKI AFRIKA.​
 
Hakuna anayebisha kuwa Kagame hajafanya kitu.Na Tanzania imefanya makubwa kwa Rwanda sana tu.Wanyarwanda wengi wamekulia hapa wamesomea kodi zetu na kula sehemu kubwa ya raslimali zetu kabla ya kurudi kwao kujenga nchi yao pamoja na kuwa wao hawajatoa hotuba ya kuisifia Tanzania!!

Anyway hongera Mwandosya kwa kuwasifia wakwe zake wa Rwanda maana kaoa mnyarwanda sijui mganda!!Sasa tuonyeshe official hotuba au statement ya viongozi wa Rwanda waliyotoa kumsifia Kikwete au Tanzania basi.

Tafuta speech ya jana ya balozi wa Rwanda Tanzania...tena aliitoa kabla ya ile ya Mwandosya. He acknowledged sana tu mchango wa Tanzania katika hatua iliyopiga Rwanda...ICTR in TZ, kupokea wakimbizi wa Rwanda etc. Pole sana ndugu yangu naona leo umeamka na Mwandosya! Kwamba reading between lines hujafurahishwa kabisa na hotuba yake na unahisi alitoa hotoba yenye kutoku reflect chuki kwa wanyarwanda kama ulivotegemea kwa kuwa kaoa mganda/mnyarwanda? Duh! Ivi kiongozi wa serikali kama yule huwa anajisemea anavyotaka kwa hisia zake binafsi anapotoa hotuba mbele ya ulimwengu? Ndo unavyoamini kabisa au umejitia tu wa.zi.mu mwanakwetu?
 
Rais JK ilistahili aende Kigali kuadhimisha kama jirani mwema. Kutokwenda kwake kunatufanya wapenda amani tuone kuwa anakumbatia anti-Kagame sentiments.

Wacha hizo wewe kwani kagame kaja sherehe ngapi tanzania mpaka JK iwe lazima aje hiyo ya kagame? Si unajua you rub my shoulder I rub yours. Kutokuja Kagame sherehe zetu unataka tumtafsiri vipi?

Sherehe si lazima mtu kwenda. Imewauma sana kwa JK kutoonekana.Pole nyamaza mwanangu kunywa uji ulale siku ingine atakuja wowo wo wo wo wo nyamaza mwanangu MHAMIAJI HARAMU ALIYEATHIRIKA NA OPERATION KIMBUNGA.
 
Only you not all of us,Personally i have no problems with Kagame so do the rest of Tanzanians coz he has done or said nuthing bad to us,Only you Hutus who pretend to be Tanzanians and some Tanzanian politicians who are on the French payroll have problems with him.
In RED, who are you to speak on behalf of Tanzanians?.....you tutsi don't like to be told the truth, you only want the world to listen and believe on what you believe; it will never happen in this modern world!..you can catch everyone in your trap...by the way, can you tell us who are the Tanzanian Politicians in a what you call a "French Payroll"?... We as a Nation got problem with Kagame because of his unpleasant words to our President, HE JM Kikwete. We' ll always stand with Kikwete, so at the moment, there is NO WAY you can separate Kikwete and Tanzania or Tanzanians for that matter..
 
sema ukiwa mtutsi extremist unaeishi Tanzania! hiyo sherehe ni muhimu kwenu si kwa wote. who do you guys think you are mpaka muanze ku-dictate rais wetu ahudhurie sherehe ipi na aache ipi? hata tusingetuma ujumbe wowote, it wouldn't have meant anything diplomatically.
kwani kagame mara ya mwisho lini kuhudhuria sherehe zetu za uhuru? mbona anatuma tu mabalozi na hatusemi kitu?

Ha ha ha mkuu mimi ni mtanzania halisi na mwana-CCM hai. Huwezi kulinganisha kwibuka20 na sherehe za uhuru? Je ni lini Rais Kikwete ameenda Kigali kwa ziara rasmi au hata ya kusheherekea uhuru wa Rwanda? hapa tunazungumza kama wapenda amani na majirani wema tunaoitakia Rwanda na Tanzania mema. Mheshimiwa Mwandosya alitoa speech murua kabisa pale Mlimani City jana. Hotuba iliyojaa hekima na busara. Tusikubali chuki itawale nchi zetu hizi mbili na kutufarakanisha na jirani zetu wa Rwanda. Never again!
 
jMali ndugu yangu hivi huoni umuhimu wa Rais Kikwete kwenda kuhudhuria maadhimisho nyeti kama yale? Hasa hasa baada ya vita vya maneno kati ya nchi zetu hizi mbili hivi karibuni? Kama kweli yeye ni mstaarabu na anaamini katika kusuluhisha migogoro kwa njia ya amani kwa nini hakuonyesha mfano wa ujirani mwema katika hili? Nikiwa mwana CCM na mtanzania nimesikitishwa na kitendo hiki cha Rais JK kutokwenda Kigali.
.....heheee.....mwanaCCM na mtanzania?!!!....jipange urudi kwenu rwanda...op kimbunga II is on prep..!
 
Only you not all of us,Personally i have no problems with Kagame so do the rest of Tanzanians coz he has done or said nuthing bad to us,Only you Hutus who pretend to be Tanzanians and some Tanzanian politicians who are on the French payroll have problems with him.

Comment za watanzania wa kweli humu JF zinatosha kumuonyesha mtu yoyote what Tanzanians think of 'pilate' kagame, wakati za watu kama nyinyi zinajionyesha wazi 'uraia wenu'. Of course he "has done or said nuthing bad" to you, because YOU are his people, to the rest of us Tanzanians, this blood thirst terrorists has fought with us in DRC killing our soldiers while pretending to be M23, the proof is in the UN report, which at the time it came out, Rwanda was the head of the security council, so go ahead with that french bs! Not to mention the talk of "hitting" our president!
 
Ha ha ha mkuu mimi ni mtanzania halisi na mwana-CCM hai. Huwezi kulinganisha kwibuka20 na sherehe za uhuru? Je ni lini Rais Kikwete ameenda Kigali kwa ziara rasmi au hata ya kusheherekea uhuru wa Rwanda? hapa tunazungumza kama wapenda amani na majirani wema tunaoitakia Rwanda na Tanzania mema. Mheshimiwa Mwandosya alitoa speech murua kabisa pale Mlimani City jana. Hotuba iliyojaa hekima na busara. Tusikubali chuki itawale nchi zetu hizi mbili na kutufarakanisha na jirani zetu wa Rwanda. Never again!

let me ask you something very simple, who does Mwandosya answer to? How is it possible that kikwete the president hates Rwanda but yet Mwandosya a minister that represents kikwete's government is out there giving a speech in our Country by the way, while retired president Mkapa and other diplomats are in Rwanda joining you people in kwibuka?
bora uwe mkweli kuwa mlipanga kumzomea au something more sinister!
 
Wacha hizo wewe kwani kagame kaja sherehe ngapi tanzania mpaka JK iwe lazima aje hiyo ya kagame? Si unajua you rub my shoulder I rub yours. Kutokuja Kagame sherehe zetu unataka tumtafsiri vipi?

Sherehe si lazima mtu kwenda. Imewauma sana kwa JK kutoonekana.Pole nyamaza mwanangu kunywa uji ulale siku ingine atakuja wowo wo wo wo wo nyamaza mwanangu MHAMIAJI HARAMU ALIYEATHIRIKA NA OPERATION KIMBUNGA.

Ha ha ha East African Eagle my friend you are stooping too low now. Rais Kagame huwa anaitikia mialiko tunayompa. Sasa usitegemee kiongozi mahiri aache kazi ya kuongoza taifa na kusafirisafiri bila sababu za msingi, la hasha. Lakini kwa uzito wa kwibuka20 ilimpasa Rais Kikwete aende Kigali kuadhimisha. Naomba nikukumbushe kuwa mimi ni mtanzania na si muhamiaji haramu, vile vile wahamiaji haramu wengi ni masalia ya FAR na interahamwe wasiomkubali Rais Kagame.
 
Kilicho kikubwa kwako usidhani ni kwa kila mtu ni kikubwa.

Sherehe hizo zinaibua majonzi na vilio na uibuaji visasi visivyoisha tu kwa waliouliwa ndugu zao au kulazimika kuwa wakimbizi nchi zingine wa pande zote mbili wa kihutu na kitusi.

Sikukuu kama hiyo ingetumika kama reconcilliation day ambapo wahutu na watusi mfano wangealikwa kula pamoja kunywa pamoja kucheza pamoja,kutembeleana n.k ili kuua kumbu kumbu mbaya ya yaliyotokea na si kuamsha kumbu kumbu mbaya na kufanya watu walale wanaweweseka genocide na kulala na hasira usiku kucha .

Lengo la maadhimisho hayo kama itabadilika kuwa ya kuhimiza watu wasahau mabaya yaliyopita wajenge rwanda mpya nitakuwa wa kwanza Kumwomba Raisi Kikwete afike na awe wa kwanza kuwasili kigali.Ibadilishwe iwe siku ya furaha watu kufurahi mfano rwanda mpya yenye mambo mapya na yenye jamii mpya ya watu wanaopendana wahutu na watusi isiwe siku kama ya msiba ambapo historia inafufuliwa upya watu wanaanza kulia upya n.k

Kikwete kutokwenda yuko sahihi mauddhui ya maadhimisho yamekaa kuibua vilio na visasi vya yaliyopita si ku-reconcile na kujenga rwanda mpya.Mfano badala ya kuonyesha mafuvu ya waliouliwa wangeonyesha mafanikio rwanda iliyofanya tokea kimbari na kuonyesha jinsi wahutu na watusi wanavyoishi vizuri kwa upendo na amani n.k Na hotuba zilenge kwenye rwanda mpya sio kwenye kuibua historia na kuanzakuvurumisha mitusi kwa sijui wafaransa sijui wahutu sijui watusi hiyo siku itumike kama reconcilliation day na siku ya kuonyesha watu new rwanda sio "old genocide era Rwanda"

Viongozi wengi kususa wanasusa maudhui ya hayo maadhimisho hayako vizuri.
Uko sahihi sana ndugu; lakini jua yafuatayo:
1. Watutsi huwa hawasamehi na ni watu wenye vinyongo sana (most of them, not all)
2. Haya maazimisho yanafanywa ili ku-cover up mauaji kagame na extremist tutsi wenzake waliyoyafanya huko DRC
3. Angalia na jina lenyewe "genocide against tutsis"..lakini ukweli ni kuwa wahutu wengi pia waliuliwa pia, lakini wao (wahutu) hawakumbukwi na badala yake wao ndio wamevikwa kilemba cha wauaji.
Anyway, hakuna lisilofichika kwa MUNGU aonaye yote; one day the whole world will come to know the truth...just as it HAS ALREADY KNOWN...
 
let me ask you something very simple, who does Mwandosya answer to? How is it possible that kikwete the president hates Rwanda but yet Mwandosya a minister that represents kikwete's government is out there giving a speech in our Country by the way, while retired president Mkapa and other diplomats are in Rwanda joining you people in kwibuka?
bora uwe mkweli kuwa mlipanga kumzomea au something more sinister!

jMali you clearly have no clue on how this government is run. Yours is a myopic view that all is hunky dory within the administration. Anway, I will not delve into the ins-and-outs of this government but I stand unwavering in my stand against our good president not attending kwibuka20 commemorations, it was poor judgment on his part. He is the President of the United Republic and should have gone to Kigali instead of sending other former leaders or junior portfolio ministers to represent him. Those of us at Mlimani City applauded the good honorable Mwandosya not for his position in government but for his brilliant speech.
 
Kuna wakati nikisoma haya mabishano yenu ya Watutsi vs Wahutu nashindwa kujua kila mmoja ana lengo gani! Anyway endeleeni kubishana lakini si uchonganishi wa kuingiza Tanzania maana mtambue hii ni public forum na inasomwa na umati mkubwa hasa vijana wasioelewa vyema historia ya nchi hizi na kuishia kuwajaza chuki.

Jengeni, punguzeni chuki ili tuwe mfano!!:hat:
 
bora uwe mkweli kuwa mlipanga kumzomea au something more sinister!

Mkuu ni kweli sana sana wangemzomea hayo mengine wasingeweza wanajua muziki wake ambao ungefuata.

Anyway Wakati huko Rwanda kulikuwa na kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari Tulituma mkapa awakilishe.Wakati huo huo huku kwetu tulikuwa na kumbukumbu ya Mauaji ya Raisi Karume wanyarwanda walimtuma nani vile kuhudhuria na kutoa hotuba toka rwanda?
Au ndio yale mambo ya kwenu msiba wenu wetu msiba wetu si wenu wabinafsi sana hao.Hivi kikwete angeacha kwenda kumbu kumbu ya karume akaja kumbu kumbu ya kimbari nani Tanzania angemwelewa? Kuna usemi usemao kukiwa na misiba miwili kila mtu inabidi abaki kwake alie kwake ndicho kikwete kafanya na kaenda mbali zaidi katuma mkapa aende wakati Rwanda hawakufanya hivyo kwenda kumbukumbu ya mauaji ya Raisi Mpendwa alhaji Abeid Aman Karume.
 
We kondoo kweli aisee.
Kasome historia kwanza ya mauaji ya kimbari-Rwanda.
Kagame is the smartest president in East and Central Africa.
Unajua kwa diplosia kati ya Rwanda na Ufaransa iko tete?

smart or Smartest? are you sure about that? Which criteria are you using to suggest that?
 
Kuna wakati nikisoma haya mabishano yenu ya Watutsi vs Wahutu nashindwa kujua kila mmoja ana lengo gani! Anyway endeleeni kubishana lakini si uchonganishi wa kuingiza Tanzania maana mtambue hii ni public forum na inasomwa na umati mkubwa hasa vijana wasioelewa vyema historia ya nchi hizi na kuishia kuwajaza chuki.
Jengeni, punguzeni chuki ili tuwe mfano!!:hat:

Kiongozi si kila mtu hapa ni either m-hutu au m-tutsi. Mimi binafsi ni mtanzania asilimia mia moja sina chembe ya u-tutsi ila ni mpenda amani na pia naheshimu uongozi thabiti wa Rais Kagame.
 
In RED, who are you to speak on behalf of Tanzanians?.....you tutsi don't like to be told the truth, you only want the world to listen and believe on what you believe; it will never happen in this modern world!..you can catch everyone in your trap...by the way, can you tell us who are the Tanzanian Politicians in a what you call a "French Payroll"?... We as a Nation got problem with Kagame because of his unpleasant words to our President, HE JM Kikwete. We' ll always stand with Kikwete, so at the moment, there is NO WAY you can separate Kikwete and Tanzania or Tanzanians for that matter..

Another hateful Hutu in the Tanzania's clothing.You are wasting your precious time guys by trying to bullshit us into supporting your stupid agenda you are planning against your own country.Another thing,Stop calling me Tutsi coz you are not my parent to decide for my nationality.Am a Tanzanian who dont want to see my country Tanzania being sucked into your stupid worthless war you are thinking of.
 
Comment za watanzania wa kweli humu JF zinatosha kumuonyesha mtu yoyote what Tanzanians think of 'pilate' kagame, wakati za watu kama nyinyi zinajionyesha wazi 'uraia wenu'. Of course he "has done or said nuthing bad" to you, because YOU are his people, to the rest of us Tanzanians, this blood thirst terrorists has fought with us in DRC killing our soldiers while pretending to be M23, the proof is in the UN report, which at the time it came out, Rwanda was the head of the security council, so go ahead with that french bs! Not to mention the talk of "hitting" our president!

Ha ha ha hiki ni kutuko eti mkimbizi wa Kihutu kujiita Mtanzania kisha mimi Mtanzania halisi unipachike Unyarwanda wewe utakuwa umerogwa siyo bure.Unashangaa mimi kupingana na propaganda za chuki dhidi ya utawala wa Kagame,Kwa bahati mbaya sana Watanzania wengi wanafikiri kama mimi kwamba Kagame anahitaji kuungwa mkono ili aendelee kuiunganisha Rwanda kuwa moja na yenye amani,Najua kuna baadhi yenu mnachukia kuona Rwanda ikiwa imetulia kama ilivyo sasa na sasa mnataka kuleta chokochoko kupitia mgongo wa Tanzania na kwakuwa baadhi yenu mmeweza kupenya kwenye vyombo vya habari vya Tanzania basi ndiyo mshapata jukwaa la kuhamasisha chuki dhidi ya Wanyarwanda wenzenu.Uzuri ni kwamba sisi Watanzania historia ya Rwanda na Rwandese genocide tunaifahamu vizuri sana hivyo hamtaweza kutughiribu akili zetu.
 
Back
Top Bottom