Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,797
- 1,567
Maria inaelekea umemzimia huyu jamaa!!
Hapana nimeona kakaa ki Boflo atavaaje kilemba!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maria inaelekea umemzimia huyu jamaa!!
doh,huyu dada kashafika ikulu?tena binafsi?asante jk,huyu demu hata mimi ningekuwa na uwezo ningefanya hivyo,namkubali sana kwa kila kitu,kweli rais wetu macho yake marefu.
Huyu dada anayecheza na Shein ni nani? Maana ni mrembo wa haja!
January Makamba:-huyo dume alievaa kitambaa kichwani ni nani?
Huyu Dada ni huyu hapa cheki maelezo yenye bold...
RAIS Jakaya Kikwete amewateua wanawake watatu kuwa maafisa katika ofisi yake binafsi. Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu iliyopatikana jana, walioteuliwa ni Elsie Kanza kuwa msaidizi wa Rais wa Mambo ya Uchumi, Fatma Mwasa kuwa Msaidizi wa Rais wa Masuala ya Jamii na Premiere Kibanga kuwa Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi. Taarifa hiyo inaeleza kuwa Kibanga atakuwa akishirikiana na Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi wa sasa, Maura Mwingira.
Kabla ya uteuzi huo, Kanza alikuwa msaidizi maalumu wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Mwasa alikuwa Mkurugenzi wa Uhamasishaji na Habari wa TACAIDS na Kibanga alikuwa Afisa Habari wa Shirika la Wakimbizi Duniani (UNHCR) Kusini mwa Sudan . Taarifa inaeleza kuwa usteuzi huo unaanza mara moja
Kama sikosei tayari alikwisha wafanyia cocktail party pale ikulu, kumbe kulikuwa na haya mengine!Aibu tupu, hasa nchi yako inapokuwa bado inamatatizo na migogoro mengi aliyoisababisha yeye na utawala wake yeye anaselebuka! This is not true bwana? Let us put our hand together na tushikilie kunako ili october awe out of office!
Umetaka nicheke sana na umefanikiwawahishimiwa wenu wanacheza KIDUKU!!!
Zuma kiboko kwa kudua,
Najua tu lazima alifunika ukumbi mzima..
Huyu Dada ni huyu hapa cheki maelezo yenye bold...
RAIS Jakaya Kikwete amewateua wanawake watatu kuwa maafisa katika ofisi yake binafsi. Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu iliyopatikana jana, walioteuliwa ni Elsie Kanza kuwa msaidizi wa Rais wa Mambo ya Uchumi, Fatma Mwasa kuwa Msaidizi wa Rais wa Masuala ya Jamii na Premiere Kibanga kuwa Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi. Taarifa hiyo inaeleza kuwa Kibanga atakuwa akishirikiana na Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi wa sasa, Maura Mwingira.
Kabla ya uteuzi huo, Kanza alikuwa msaidizi maalumu wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Mwasa alikuwa Mkurugenzi wa Uhamasishaji na Habari wa TACAIDS na Kibanga alikuwa Afisa Habari wa Shirika la Wakimbizi Duniani (UNHCR) Kusini mwa Sudan . Taarifa inaeleza kuwa usteuzi huo unaanza mara moja
Ati wasema sijakusoma mkuuAAAh baaaaaaasi! no doubt huyo ni ongezeko katika listi ya ma pumziko yake, kweli jamaa ni Mkware ooooh samanahi Mkwere
Mbona majina kama ya kinyarwanda??Huyu Dada ni huyu hapa cheki maelezo yenye bold...