JK Akijirusha baada ya kufunga mkutano wa UCHUMI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK Akijirusha baada ya kufunga mkutano wa UCHUMI

Discussion in 'Jamii Photos' started by Lucchese DeCavalcante, May 7, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  _DSC0512.JPG [​IMG]
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  No presidaa
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Zuma kiboko kwa kudua,
  Najua tu lazima alifunika ukumbi mzima..
   
 4. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  huyo dume alievaa kitambaa kichwani ni nani?
   
 5. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Maria inaelekea umemzimia huyu jamaa!!
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,417
  Likes Received: 22,327
  Trophy Points: 280
  Mheshimiwa RAIS kiuza show
   
 7. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  wahishimiwa wenu wanacheza KIDUKU!!!
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  May 7, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Wtf?
   
 9. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  [​IMG]


  Huyu dada anayecheza na Shein ni nani? Maana ni mrembo wa haja!
   
 10. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #10
  May 7, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Aibu tupu, hasa nchi yako inapokuwa bado inamatatizo na migogoro mengi aliyoisababisha yeye na utawala wake yeye anaselebuka! This is not true bwana? Let us put our hand together na tushikilie kunako ili october awe out of office!
   
 11. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #11
  May 7, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  MIMI NIMEKUWA NA CHUKI NA SURA YA JK.....tayari limenitoka.
   
 12. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #12
  May 7, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Huyu Dada ni huyu hapa cheki maelezo yenye bold...

  RAIS Jakaya Kikwete amewateua wanawake watatu kuwa maafisa katika ofisi yake binafsi. Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu iliyopatikana jana, walioteuliwa ni Elsie Kanza kuwa msaidizi wa Rais wa Mambo ya Uchumi, Fatma Mwasa kuwa Msaidizi wa Rais wa Masuala ya Jamii na Premiere Kibanga kuwa Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi. Taarifa hiyo inaeleza kuwa Kibanga atakuwa akishirikiana na Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi wa sasa, Maura Mwingira.
  Kabla ya uteuzi huo, Kanza alikuwa msaidizi maalumu wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Mwasa alikuwa Mkurugenzi wa Uhamasishaji na Habari wa TACAIDS na Kibanga alikuwa Afisa Habari wa Shirika la Wakimbizi Duniani (UNHCR) Kusini mwa Sudan . Taarifa inaeleza kuwa usteuzi huo unaanza mara moja
   
 13. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Elsie Kanza (2008 Tutu Fellow) addresses the assembly of Presidents, Ministers, Ambassadors and other dignitaries at the launch of the Young African Leaders Awards programme
   
 14. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #14
  May 7, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Nina Mzio wa kumuona Rais wangu
   
 15. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Do you mean What the F*ck or what?
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  May 7, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Vipi mkeo akiteuliwa na Muungwana kwenye ofisi yake binafsi, I am trying to think loud....
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  May 7, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  You got it...
   
 18. bht

  bht JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  baada ya kazi mtu huburudika
   
 19. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Sioni tatizo la raisi kuburudika, kwani amevunja sheria mbona hao wengine wanacheza huo muziki?
   
 20. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #20
  May 7, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hasa anapokuwa bomba tena msaidizi wake binafsi duh
   
Loading...