JK akifanya mazoezi lakini....

JK akifanya mazoezi lakini....

sarkozy.jpg
 
very good newssssssssssssssssssPiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipooooooooooooooooooooooooooooooooooooozzzzzzzzz.......................!!!!
 
rais wa ufaransa nae na blue "vesti" ya blue ya NYPD na sio paris police department(ppd),kweli watu wanapenda sana umarekani

jogging.jpg
 
Tatizo watu wanaangalia nini sijui!!!! Huwezi kuwa mlinzi wa rais kwa bahati mbaya, ni mchakato ambao ni lazima uwe fit ndipo ukae karibu na rais kuangalia usalama wake.

Watu wametaka kumbeza kwa muonekano wake lakini si kwa utendaji wake, na hapo ndipo tatizo linapoonzia.

Yule aliyezubaa mpaka Mzee Mwinyi akazabwa kibao alichaguliwaje?
 
Atakuwa anahesabu hatua ili amiliki hilo
eneo, naona lina rutuba sana,
sizani kama kuna mazoezi hapo.
 
Hayo ni mazoezi ya hotupa au ya shoo ya juzi?
 
Kwanza sio jeans, halafu huyo hayupo mazoezini, yupo kazini.

Hao wawili wa kushoto na kulia ni maaskari hasa hata kwa kuwatazama. Hao wa nyuma ndo wale kina mimi...we like singing the litany of praise to the man at the helm so that we can continue eating...mazoezi hao wanalazimishwa
 
Kuna upara umezungukwa na nywele nyeupe nyuma, sio Wasira yule ndani ya suruali na shati chini skuna
 
rais wa ufaransa nae na blue "vesti" ya blue ya NYPD na sio paris police department(ppd),kweli watu wanapenda sana umarekani

jogging.jpg

Nampambe mwingine anajezi ya Itali, labda kuzuga magaidi wasiwastukie
 
Kuna upara umezungukwa na nywele nyeupe nyuma, sio Wasira yule ndani ya suruali na shati chini skuna

hao wanafuata nyuki ili wale asali...wakiwa nyumbani kwao, gym ni kwa msaada wa maelekezo ya daktari...
 
jk ni muigizaji tu

kwani nini maana ya mazoezi na mazoezi yapo ya aina ngapi? Tukumbuke hata kutikikisa kichwa north,east,west & south (news) ni zoezi pia.so kuvaa bukta,track,jeans,n.k yote sawa.....kwani wewe unapendelea nini chagua moja.good mr pre....for empro.....your afya.
 
Jamaa wana bunduki viunoni sasa track suit inampira haiwezi uzito wa chuma.
 
Kwanza sio jeans, halafu huyo hayupo mazoezini, yupo kazini.
tafuta kitabu hiki...Within Arm's Length: The Extraordinary Life and Career of a Special Agent in the United States Secret Service cha Dan Emmett.......soma na uje utoe comment kama hiyo.....
 
Back
Top Bottom