Mazoezi ya viungo bila matumizi madhubuti ya kondom ni kazi bure
huyo mwenye jeans labda ni mpita njia
JK kumbe huwa anafanya mazoezi na tusisahau kuwa ni mwanajeshi
Tatizo ni hao wapambe wake na hasa huyo aliyevaa jeans...inawezekana vipi rais anayependa kupiga pamba akazungukwa na watu waliochoka namna hiii?
Mbona nasikia mazoezi huwa hayaruhusiwi kwa hawa wenzetu?
Acheni hizo, mnatathimi vipi mtu kwa mavazi????
Mbona huyo pembeni ya SACORZY amevaa traksuti ya kichoka mbaya, au kwa sababu yeye ni mzungu, ile ya mzungu hata akivaa ndala ataonekana smart??!!
Mazoezi ya viungo bila matumizi madhubuti ya kondom ni kazi bure
hawajavaa nguo wanazoghalamiwa na walipa kodi,
Kwanza sio jeans, halafu huyo hayupo mazoezini, yupo kazini.
Hakuna mazoezi hapo, may be its a charity work.