JK afunguka kuhusu kustaafu kwake

Wee unaeongelea mambo ya ukolon wakat miaka50 sasa hko hru!hyo rais atakumbukwa kwa kumwaga dam ya watu wasio na hatia mfano arusha,mwangos nk
 
wewe taahira madaraja 3 kati ya 5 aliyojenga Kikwete yaliahidiwa na nyerere akiwa madarakani. hata kama mkapa aliplan lakin suala la utekelezaji ni lingine kabisa. na utekelezaji unahitaji hela ambazo walioplan hawakuwa nazo. kweli wewe ni taahira kwelikweli. nenda kalewe mbege huko, bweg.e we.

He is going to have a very bad legend, he is a very bad head of the state never seen since Tanzania was born.The success he mentioned was done or planned and financed by the government lead by Mr. MKAPA.
 
Sababu ipo wazi sana - uongozi mbaya ndiyo chanzo cha umaskini wa Tanzania. Kama ambavyo siku moja nilisikiliza wananchi wa Botswana wakihojiwa na mtangazaji wa BBC juu ya sababu za wao kuwa na maendeleo mazuri, wengi walijibu kuwa kwa kiasi kikubwa nchi yao haina rasilimali nyingi ila walichobahatika toka mwanzo ni kupata uongozi mzuri wenye dhamira na mtazamo sahihi.

Kula LIKE mkuu
 
Eeeh labda kwa miundo mbini! Lakini baba la miundo mbinu ni Mkapa! Hakuna mwingine, huyu ndo alitukuta choka mbaya na akatufikisha mahali. Siyo huyu anayetuachia deni la matrilion ya shilingi. ZOMBIE AT WORK!!
wewe taahira kujenga km zaidi ya 11000 za barabara sio kitu rahisi. mkapa kwa miaka 10 aliyokaa madarakani amejenga km 3000 tu. mwinyi na nyerere kwa miaka 34 yote waliokaa madarakani wamejenga km chini ya 3000. angalia mashule. imagine Kikwete alikuta vyuo vikuu vikiwa na wanafunzi 40000 tu lakini ndani ya miaka 10 amefikisha wanafunzi vyuoni 180,000. na mengine mengi. hivi mlitaka afanyeje? acheni chuki bhana, hazijengi.
 
barabara;
Kikwete=km 11,000
Mkapa =km 3000
Mwinyi+nyerere=km <3000
vyuo vikuu,
Kikwete 34
Mkapa+nyerere+Mwinyi= 6
Udahili wa wanafunzi vyuoni
Kikwete=180,000
Mkapa=40000
Mwinyi=15000
nyerere for 24 years=6000
udahili wa wanafunzi mashuleni
Kikwete=1,900,000
Mkapa=500,000
Others=less than 150,000
umeme
Kikwete anafikisha 33%
mkapa 11%
others less than 4%
nikipata muda nitaendelea, na wengine waendeleze.
 
mkuu hawa wenye chuki hawataona jema hata moja la Kikwete maana wamevaa miwani ya mbao. wanapita kwenye barabara za lami alizojenga kikwete lakini kutwa kucha ni kumtukana tu. usitarajie maajabu. wamekaririshwa.
 
wenye chuki hamtaona jema hata moja la Kikwete maana mmevaa miwani ya mbao. mnapita kwenye barabara za lami alizojenga kikwete lakini kutwa kucha ni kumtukana tu. hatutarajii maajabu kutoka kwenu. mmekaririshwa.

Umemaliza kila kitu mkuu
 
Ukiangalia post zako, utakuwa mwanasiasa wa ovyo ovyo ama mchawi! hazijielezi kilojic!
utambue kwamba kikwete katafuniwa na marais waliomtangulia, yy alikuwa anameza tu! ndo maana alikuwa anashinda ulaya!
 
kuwa mkweli kwa nafsi yako..chuki hazijengi.
 
kitu gani pipya kilichowekwa na Kikwete ambacho hakikuwepo enzi za Mkapa, master plan iwe ni ya Kikwete tu, mwenye ushahidi uwekwe hapa badala ya kuongea kijumla jumla![/QUOTE]

lets took an example in mbeya mkapa haliacha shule za sekondari hazifk 50. mkoa mzima but now kuna kuna shule nyingi sana tu.tuje barabara hapopo mbeya city saiv ni kama uchafu ukilinganyisha na the way mkapa alivyotuacha na ile barabara kuu na minor roads chache san. JAMAN MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI
 
mirembe panakufaa sana wewe. nashangaa unafanya nini huku mitaani.
Sasa mi na wewe nani ni mteja wa mirembe? Umepigwa sindano ya ganzi ya ubongo akili yako haioni kabisa evils za maccm mnatetea uozo,watanzania wanateseka kutokanA na upuuzi wa magamba halafu nyie mnapiga makofi,kesho kwa mungu kuna moto ujue ohooo!
 
Hizo ni namba tu hazina mpango tuje kwenye reality hapo leo watz wangapi wapo gizani? Quality ya hizo barabara zi wapi? Vipi kuhusu output ya enrolled students kwenye hizo shule? mnakera sana nyie gambaz.
 
kwanini ukerwe na argument ya mwenzako?...au mkuu una matatizo mengine hutaki kusema matokeo hasira zako unaelekeza kila mahali?
 
He is going to have a very bad legend, he is a very bad head of the state never seen since Tanzania was born.The success he mentioned was done or planned and financed by the government lead by Mr. MKAPA.

Nakushauri tumia Kiswahili, utaeleweka vizuri zaidi.
 
Sasa mi na wewe nani ni mteja wa mirembe? Umepigwa sindano ya ganzi ya ubongo akili yako haioni kabisa evils za maccm mnatetea uozo,watanzania wanateseka kutokanA na upuuzi wa magamba halafu nyie mnapiga makofi,kesho kwa mungu kuna moto ujue ohooo!
moto wa mungu na miundombinu wapi na wapi?.

Relax man,by the way jana ulikula?.
Isije ikawa uko vibaya humo tumboni ndo maana unapayuka payuka sana.
 
Watu hawampendi JK, au aliwachukulia wake zenu nn, manake hajambo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…