Jiwe yu wapi?

Jiwe yu wapi?

You know nothing. Ulipoandika Media kuzibwa mdomo ndo hapo Nimeona wewe Sio mzima. Kuna tusi gani msilomtupia JPM humu na kwingineko. Magazeti kama Mwananchi, Tanznia daima and the like wanaandika nini. Wazi shallow minded and prejudiced like you ni sumu sana. Be positive for ones in your life.
Sasa kizungu gani umejampa hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo Chahali nchi amezamia ulaya huko baada ya kuwadanganya eti anatafutwa na serikali auwawe hawezi kurudi tanzania kwanza ameshafutiwa uraia wa tanzania

Jaribu kuelewa post #9,

Bado unazidi kuandika nonsense...
changia ukishindwa pita kimya.

Hii tabia kushambulia watoa hoja cjui utaacha lini?
 
Mnapenda lugha nyepesinyepesi msiumize kichwa , Ujumbe unajitosheleza kabisa kama hujaelewa chukua dictionary ,Any way jiwe yupo magogoni analia tu kajiinamia anafikiria safari ya the Hague itakuwaje naye hapandagi ndege .

😂😂😂mkuu tafadhari jaribu kujali hisia za wengine😂😂😂nimelipukaa kicheko dah..kila mtu ananiamgalia tu😂😂
 
Kuna vitu Vinne visivyo shiba kamwe naam vitano visivyo sema basi
Kuzimu
Tumbo lisilo zaa
Nchi isiyo shiba maji
Moto usio sema basi na
Upinzani uchwara wa Tanzania walahi
Wataangamia wote wao na vizazi vyao milele kama watoto wa Kora kule Jangwani waliko mpinga Nabii wa Mwenyezi Mungu Mussa
Jiandaeni maana mmekwisha kabisa walahi
In Goddess Isis voice


Sent using Jamii Forums mobile app
Kakufundisha nani ujinga huo we mwanadamu usie adili,ni nani wewe kuwalaani watu juu ya agano la babu zako?(agano = katiba) amelaaniwa MTU. yule alivunjae agano kwani yuatenda dhambi mbele ya bwana Mungu wake, je mmesahau viapo vyenu mbele za bwana mlipojiapiza kuwa mtalitunza agano hili hata milele!
MUSSA wetu aweza kupingwa chino ya agano letu, ni agano lipi liliruhusu MUSSA wa Mungu apingwa? Omba msamaha kabla ya laana Hii hajakurudi juu yako na kizazi chako kwani naamini hujatumwa na Bali uovu unenao ndani ya moyo wako.
 
Ila kuna msemo unasema 'chululu si ndondondo'


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Back
Top Bottom