Jiwe yu wapi?

Jiwe yu wapi?

Hv watu wote mnakaa mnamuamini chahali mtu wa kitengo hata mkorofishe VP hawez mwaga mchele kihasara watu kama chahali wakitekwa hata mwanamke wanamwaga kila jambo LA kitengo ni mtu wa kuotea jambo na kutaka kufahamu kitu kutoka kwa watu ili apate ABC ya jambo husika
 
Moja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.

Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.

Back to the question: where's Jiwe?

Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?

Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?

(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first[emoji4])

Sent using Jamii Forums mobile app
jamani tuwe wakweli hivi kama kweli kama serikali ingevifunga mdomo vyombo vyo habari hivi tungekuwa na uhuru wa kujadiliana humu na kuisema serikali? tuachaneni na mijitu kama kina Chahali lowezi la ulaya ambalo limekata tamaa ya maisha,
 
Anapiga ramli chonganishi....Nakubaliana nawe
 
jamani tuwe wakweli hivi kama kweli kama serikali ingevifunga mdomo vyombo vyo habari hivi tungekuwa na uhuru wa kujadiliana humu na kuisema serikali? tuachaneni na mijitu kama kina Chahali lowezi la ulaya ambalo limekata tamaa ya maisha,

Ukiacha humu JF ni wapi pengine ambapo watu wanajadili kwa uwazi?

Hujasikia kesi za FB?
 
mkimbizi feki wa kisiasa naona baridi ya finland imegandisha ubongo wako huku tanzania amani tele siku hizi tunatembea mpaka saa 8 usiku bila wasi wasi
Hayuko Finland inasemekana yupo Scotland.
Screenshot_20200513-073450.png
 
Moja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.

Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.

Back to the question: where's Jiwe?

Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?

Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?

(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first[emoji4])

Sent using Jamii Forums mobile app
Evarist,
Swali la mwisho kwangu imekuwa ni tungo Tata.... Can you put more lighton it pse?
 
Kuna vitu Vinne visivyo shiba kamwe naam vitano visivyo sema basi
Kuzimu
Tumbo lisilo zaa
Nchi isiyo shiba maji
Moto usio sema basi na
Upinzani uchwara wa Tanzania walahi
Wataangamia wote wao na vizazi vyao milele kama watoto wa Kora kule Jangwani waliko mpinga Nabii wa Mwenyezi Mungu Mussa
Jiandaeni maana mmekwisha kabisa walahi
In Goddess Isis voice

Sent using Jamii Forums mobile app

Yes, this is the Voice of LUCIFER original from HELL.
Jiwe is the messenger from Hell....but he gonna be defeated immensely!
 
Back
Top Bottom