Jiwe yu wapi?

Jiwe yu wapi?

Chahali hayuko Finland bhana. We nawe acha kuwa lopolopo.
Watu tanajilinda wenyewe tu; na kumuomba Mungu. Mahali ambapo hali ya maisha ni ngumu (pesa haipatikani) kutakuwaje na usalama wa mtu kutembea hata saa 8 za usiku. Shirikisha ubongo wako kabla ya kumwaga upupu humu.
Upo kijiweni na hakuna dili za kutengeneza vyeti feki, hela feki na vocha feki kwa nini maisha yasiwe magumu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu ameanza kuongea pengine anachukua tahadhari hili njemba lisije kuanza kufanya uchambuzi ya matamko
 
mkimbizi feki wa kisiasa naona baridi ya finland imegandisha ubongo wako huku tanzania amani tele siku hizi tunatembea mpaka saa 8 usiku bila wasi wasi

Vibaka huwa wanapora hela huo usiku hawana muda na nyie wanga. Hiyo saa 8 usiku uko uchi wa mnyama, Kibaka atukusach nini?
 
Hizi ziara za Majaliwa na Samia mikoani tena kwa wakati moja zinanishtua kuna kitu wanakijua, mmmmmmmhhh hapana aiseee!!
 
Huyu hana lolote na hajui lolote bali anachofanya ni kuleta thread ikionyesha kama anajua jambo fulani ili wachangiaji wamsaidie kulijua.

Rais Magufuli yuko ofisini akiendelea na kazi zake kama kawaida.

The guy reads alot and knows well how to play with people's mind. If you ask me....He is working alot to influence some things to happen. Haya mabandiko kama yanaelea hewani ila yanasukuma akili kuamini kama yanayosemwa yapo. Ndio maana naona ni mazingaombwe tu
 
Moja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.

Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.

Back to the question: where's Jiwe?

Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?

Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?

(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first[emoji4])

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama unajua majibu unatuuliza ili iweje?

Au na wewe unataka kupongezwa kwa juhudi zako za upigaji ramli chonganishi?

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
huyo Chahali nchi amezamia ulaya huko baada ya kuwadanganya eti anatafutwa na serikali auwawe hawezi kurudi tanzania kwanza ameshafutiwa uraia wa tanzania
Post za chahali ni za kupuuza. Mpiga ramli tu huyo

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Inashangaza sana mtu mzima kama mleta mada kutumia lugha za kihuni, jiwe ndio nani??
Mpuuze, hana anachokijua huyu chahali. Analishwa matango pori halafu anakuja kututambia

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Hamtaki azindue, hamtaki afungue, kila kitu nongwa kulikoni, akikaa kimya, mnasema kwanini amekaa kimya, akiongea yake ya moyoni minuno, anaongea sana, afanyanje Mzee wa watu??
Bora tu akae kimya Mzee wa wote, Piga kazi Baba Mzee.
Pole mkuu, mwambie atutengenezee taasisi imara akianza na rasmu ya katiba ya Jaji Joseph Sinde Warioba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom