Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,927
- 62,638
1999 - Muhasisi wa taifa
2001- Dkt Ally Juma
1984-? Ni nani mkuu
Jf ni kuongezana maarifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Market 4
1999 - Muhasisi wa taifa
2001- Dkt Ally Juma
1984-? Ni nani mkuu
Jf ni kuongezana maarifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sokoine.1999 - Muhasisi wa taifa
2001- Dkt Ally Juma
1984-? Ni nani mkuu
Jf ni kuongezana maarifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inashangaza sana mtu mzima kama mleta mada kutumia lugha za kihuni, jiwe ndio nani??
Thread anazo anzisha Chahali siku hizi zinaonyesha kabisa amepoteza network na waliokuwa wanampa info miaka ya nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Amani ipi unaongelea mm sina aman usiongelee watu wengine jisemee pekee yako watu wanatembea saa nane za usiku tokea lini?endelea kupotosha wajinga wenzako.mkimbizi feki wa kisiasa naona baridi ya finland imegandisha ubongo wako huku tanzania amani tele siku hizi tunatembea mpaka saa 8 usiku bila wasi wasi
Hakuna kituCh
Chahali yuko well informed than you think
Nyuma akikuwa akipata taarifa kupitia mtandao wa ugombea uraisi wa Lowassa uliokuwa ndani ya serikali na system .Baada ya kubomolewa barabara ule mtandao kabakia kuishi kwa taarifa za kufikirika akiwa kwenye keyboard kinachomjia kichwani anakiposti.Thread anazo anzisha Chahali siku hizi zinaonyesha kabisa amepoteza network na waliokuwa wanampa info miaka ya nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazushi wako busy alwaysMoja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.
Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.
Back to the question: where's Jiwe?
Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?
Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?
(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first[emoji4])
Sent using Jamii Forums mobile app
Moja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.
Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.
Back to the question: where's Jiwe?
Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?
Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?
(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first[emoji4])
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeunganisha dots so far, inavyoonekana kuna tatizo kubwa sana CCM.Mkuu Chahali, nimejaribu kureview mabandiko yako ili kuunganisha uzi lakini maandiko yako yanajichanganya na kukaa mkao wa "kuoteaotea" au unalishwa matangopori.
Hata hili "hamna kitu" mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa ni wa hovyo saivi vibaka ni wengi Sana na wizi umerudi Kwa Kasi kubwaChahali hayuko Finland bhana. We nawe acha kuwa lopolopo.
Watu tanajilinda wenyewe tu; na kumuomba Mungu. Mahali ambapo hali ya maisha ni ngumu (pesa haipatikani) kutakuwaje na usalama wa mtu kutembea hata saa 8 za usiku. Shirikisha ubongo wako kabla ya kumwaga upupu humu.
Uraia wa mtu unafutwaje?huyo Chahali nchi amezamia ulaya huko baada ya kuwadanganya eti anatafutwa na serikali auwawe hawezi kurudi tanzania kwanza ameshafutiwa uraia wa tanzania
Sokoine1999 - Muhasisi wa taifa
2001- Dkt Ally Juma
1984-? Ni nani mkuu
Jf ni kuongezana maarifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Stupid kweli wewe, hujui hata kaandika nini, utakuja kufa unatembea mjinga wewe, aliyekuambia mtoa mada yupo Finland ni nani?mkimbizi feki wa kisiasa naona baridi ya finland imegandisha ubongo wako huku tanzania amani tele siku hizi tunatembea mpaka saa 8 usiku bila wasi wasi
Hebu mumtumie zile picha za mkulu akiwa na viongozi wa barick ili azidi kujiona alivyomweupe.Huyu hana lolote na hajui lolote bali anachofanya ni kuleta thread ikionyesha kama anajua jambo fulani ili wachangiaji wamsaidie kulijua.
Rais Magufuli yuko ofisini akiendelea na kazi zake kama kawaida.