Jiwe yu wapi?

Jiwe yu wapi?

Kaka wa USADI UPOOOO!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] NILIONGEZA NENO JIPYA HILI KUTOKA KWENYE MAKALA YAKO ILIYOHUSU MASUALA YA UCHAGUZI WA 5015. USADI=KUMSAPOTI MTU KISIASA KWA KUSHAWISHIWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona huwa unajificha kwenye sentensi za namna hii kwenye hoja zako tata? Mimi naona na wewe unakuwa hujui lolote ila kupitia njia hii unajaribu kupata clues. DAB naye kimya, kuna kitu kinachofanana hapo?
Hatima mbaya

All in bad shapes
 
ana kitu ila anaandika kama udaku ukiona huwezi sema ukaeleweka basi kaa navyo kimya
 
Wewe JAMAA there is something wrong within your brain,, TATIZO wewe unajiona unaakili sanaaa!! Kuzidi wenzio, hats kama ulishawahi kuwa kitengo,, inaonekana hukupikwa ukaiva katika mambo ya itelejensia wewe unachoprove uliiva umbea wa tumbo lako tuu,,
Moja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.

Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.

Back to the question: where's Jiwe?

Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?

Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?

(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first[emoji4])

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkimbizi feki wa kisiasa naona baridi ya finland imegandisha ubongo wako huku tanzania amani tele siku hizi tunatembea mpaka saa 8 usiku bila wasi wasi
Ikiwa si kibaka itakuwa askari mkamata wazembe na wazururaji usiku ili uachiwe chochote!!
 
Moja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.

Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.

Back to the question: where's Jiwe?

Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?

Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?

(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first[emoji4])

Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo na akina musiba bashite, lemutus, wanapanga mbinu ya kusima uasi wa nape,makamba na bashe, wanapanga namna ya kuzima CCTV camera na kuondoa ulinzi Sikh ya tukio na kuratibu mazishi ya wahanga
 
Back
Top Bottom