Jiwe yu wapi?

Mzalendo_Mwandamizi

JF-Expert Member
Dec 12, 2007
1,117
4,764
Moja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.

Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.

Back to the question: where's Jiwe?

Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?

Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?

(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkimbizi feki wa kisiasa naona baridi ya finland imegandisha ubongo wako huku tanzania amani tele siku hizi tunatembea mpaka saa 8 usiku bila wasi wasi
Chahali hayuko Finland bhana. We nawe acha kuwa lopolopo.
Watu tanajilinda wenyewe tu; na kumuomba Mungu. Mahali ambapo hali ya maisha ni ngumu (pesa haipatikani) kutakuwaje na usalama wa mtu kutembea hata saa 8 za usiku. Shirikisha ubongo wako kabla ya kumwaga upupu humu.
 
Hata kuzindua sikuhizi hakuna uzinduzi. Sijuietumefikia malengo ya viwanda!
Mheshimiwa:Kuhusu viwanda ukiwa na cherehani na blender tayari ni kiwanda
Wananchi:Mheshimiwa vipi kuhusu zile milioni 50
Mheshimiwa:Milioni hamsini mlininukuu vibaya
Walimu:Mheshimiwa kuhusu laptop
Mheshimiwa:nimegundua hamuwezi kuzitumia mmezoea chaki.
Nang'atuka
 
(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first
emoji4.png
)
Mbona huwa unajificha kwenye sentensi za namna hii kwenye hoja zako tata? Mimi naona na wewe unakuwa hujui lolote ila kupitia njia hii unajaribu kupata clues. DAB naye kimya, kuna kitu kinachofanana hapo?
 
Moja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.

Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.

Back to the question: where's Jiwe?

Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?

Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?

(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first)

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba yupo anaendesha kikao kizito sana kuhusu kina Nape na January waliokana kutunga sheria mbovu, anataka awapotezee mzee baba... Hahaa
 
Moja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.

Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.

Back to the question: where's Jiwe?

Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?

Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?

(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first)

Sent using Jamii Forums mobile app
Kajikausha kau kabisa kukwepa aibu ya koro - show.
 
Kuna vitu Vinne visivyo shiba kamwe naam vitano visivyo sema basi
Kuzimu
Tumbo lisilo zaa
Nchi isiyo shiba maji
Moto usio sema basi na
Upinzani uchwara wa Tanzania walahi
Wataangamia wote wao na vizazi vyao milele kama watoto wa Kora kule Jangwani waliko mpinga Nabii wa Mwenyezi Mungu Mussa
Jiandaeni maana mmekwisha kabisa walahi
In Goddess Isis voice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom