Jiwe yu wapi?

Jiwe yu wapi?

Yuko Magogoni anapanga Operation MZIZIMA 3 kumzima ZITTO, CAG, LISSU na MAALIM SEIF.

Bila kusahau MAKAMBA, NAPE na wengine ambao hawajajitokeza kuonesha hawako nae wanamuumiza kichwa.
 
Kama ni wafuatiliaji wazuri wa matukio basi mtamuelewa Chahali vizuri otherwise mnataka spoon feeding.
Kujitokeza kwa wale vijana wawili (mawaziri) though mmoja alitumbuliwa na kujieleza kwa uwazi na kuyakana maamuzi yako juu ya 1.Sheria ya mitandao , 2. Bunge live na kusisitiza kuwa haikuwa kwa matakwa yao si bure, kuna namna au kuna kaupenyo wamekachunguli na labda tunaweza kukahusisha na ukimya wa Mchato.
 
Moja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.

Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.

Back to the question: where's Jiwe?

Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?

Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?

(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first[emoji4])

Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa anavyopenda live covarage leo angekuwa anawaapisha wale wa jana alowateua na hotuba kedekede zilizojaa mikwara na kejeli nahisi kuna kitu hakipo sawa vile nasikia moyo na brain kidogo havipo sawasawa.
 
mkimbizi feki wa kisiasa naona baridi ya finland imegandisha ubongo wako huku tanzania amani tele siku hizi tunatembea mpaka saa 8 usiku bila wasi wasi
Amani gani wakata kuna vilio mitaani hali ngumu ya maisha na unazidi kuwa mbaya kila uchao
 
Kama ni wafuatiliaji wazuri wa matukio basi mtamuelewa Chahali vizuri otherwise mnataka spoon feeding.
Kujitokeza kwa wale vijana wawili (mawaziri) though mmoja alitumbuliwa na kujieleza kwa uwazi na kuyakana maamuzi yako juu ya 1.Sheria ya mitandao , 2. Bunge live na kusisitiza kuwa haikuwa kwa matakwa yao si bure, kuna namna au kuna kaupenyo wamekachunguli na labda tunaweza kukahusisha na ukimya wa Mchato.
mkuu nimecheka hapo kwenye kaupenyo hahahaha. yumkin hali si shwari tena. jamaa ataishia hapo
 
Mkuu Chahali, nimejaribu kureview mabandiko yako ili kuunganisha uzi lakini maandiko yako yanajichanganya na kukaa mkao wa "kuoteaotea" au unalishwa matangopori.

Hata hili "hamna kitu" mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa usitilie maanani mambo mengi anayoandika. Anakuwa kama mtu anayeota ndoto halafu akiamka anaandika. Halafu amekuwa obsessed na mambo ya intelijensia kiasi ambacho nadhani yanamleta maluweluwe fulani na kujiona kama anayofikiria kichwani ni kweli yanatokea. It seems like we have a paranoia case!
 
Mkuu Chahali, nimejaribu kureview mabandiko yako ili kuunganisha uzi lakini maandiko yako yanajichanganya na kukaa mkao wa "kuoteaotea" au unalishwa matangopori.

Hata hili "hamna kitu" mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hana lolote na hajui lolote bali anachofanya ni kuleta thread ikionyesha kama anajua jambo fulani ili wachangiaji wamsaidie kulijua.

Rais Magufuli yuko ofisini akiendelea na kazi zake kama kawaida.
 
Moja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.

Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.

Back to the question: where's Jiwe?

Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?

Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?

(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first[emoji4])

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂
Mzee Baba tuletee wawekezaji toka uskochi. Haya mazingaombwe mnayaweza wenyewe
 
Moja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.

Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.

Back to the question: where's Jiwe?

Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?

Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?

(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first[emoji4])

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sasa kwa hali hii mbona utajishushia credibility kubwa uliyoijenga miaka kibao humu!
tapatalk_1550666036136.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sana kwa kukutana na wengi wasiojua kiin cha swali lako. linahitaji wenye upeo mkubwa wa kufikiri!

unaongelea kwamba kuna uwezekano mkubwa wa moto ndan ya chama baada ya kuona vijana kindak ndak wakikana misimamo ya serikali. wakikana misinamo ya ccm!

kiujumla hakujatulia ila najua watavumilia kimoyo moyo hwana cha kifanya kabisa
 
Hata kuzindua sikuhizi hakuna uzinduzi. Sijui tumefikia malengo ya viwanda!
Hamtaki azindue, hamtaki afungue, kila kitu nongwa kulikoni, akikaa kimya, mnasema kwanini amekaa kimya, akiongea yake ya moyoni minuno, anaongea sana, afanyanje Mzee wa watu??
Bora tu akae kimya Mzee wa wote, Piga kazi Baba Mzee.
 
mkimbizi feki wa kisiasa naona baridi ya finland imegandisha ubongo wako huku tanzania amani tele siku hizi tunatembea mpaka saa 8 usiku bila wasi wasi
Mkuu dada poa, Maisha ni zaidi ya kutembea usiku, Labda ungesema tunafanya kazi mpaka usiku wa manane. Mabasi bado mwisho saa 4 usiku wewe unajisifia kuzurula usiku au mwezetu dada poa?
 
Back
Top Bottom