Jiwe yu wapi?

Jiwe yu wapi?

Wewe JAMAA there is something wrong within your brain,, TATIZO wewe unajiona unaakili sanaaa!! Kuzidi wenzio, hats kama ulishawahi kuwa kitengo,, inaonekana hukupikwa ukaiva katika mambo ya itelejensia wewe unachoprove uliiva umbea wa tumbo lako tuu,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uliyepikwa ukaiva tupe Habari kamili, Jiwe yuko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.

Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.

Back to the question: where's Jiwe?

Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?

Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?

(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first[emoji4])

Sent using Jamii Forums mobile app
Jasusi Chahali....hivi kazi ya ujasusi ina mafunzo ya uganga wa kienyeji na kupiga ramli pia? I see it all over the faces of spies I meet. Wanaamini wanajua kila kitu na wanashikilia mustakabali wake pia, hata kama wamechoka hohe hahe
 
Ujasusi nao una failures nyingi tu. Sio kwa Israel, au US au hata USSR na Russia sasa hivi. Baba tusaidie mambo mengine sio hizi habari za kizushi
 
Huyu jamaa usitilie maanani mambo mengi anayoandika. Anakuwa kama mtu anayeota ndoto halafu akiamka anaandika. Halafu amekuwa obsessed na mambo ya intelijensia kiasi ambacho nadhani yanamleta maluweluwe fulani na kujiona kama anayofikiria kichwani ni kweli yanatokea. It seems like we have a paranoia case!
"Huyu jamaa," wapuuzi kweli nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_3946.JPG
IMG_3945.JPG
 
Back
Top Bottom