Jirani yangu kuna kanisa la walokole

Jirani yangu kuna kanisa la walokole

Kwa upuuzi kama huo Kagame aliwaweza. Ukiwafata utaskia mbona hamzikatazi bar.
Au kwanini hamkatazi misikiti.
kUna sehem waliwah kuwafata ni wabishi hao mpaka ilibik kuwafikisha mahakaman lakin napo bado waliendelea kupiga mziki
 
Acha chuki za kiimani mpuuzi wee, hakuna kanisa la hivyo linalopiga kwaya muda wote. Mnakuaga na chuki mkiona makanisa ya mnaowaita walokole yamechipuka mitaani kwenu mnaona ni kero
Labda useme hujawahi experience hii scenario, hili linakuaga mzozo mkubwa sana na uzuri kwenye malalamiko kama haya hata waumini wanaoishi eneo hilo hua na wenyewe wapo kwenye mapambano mkuu🤣
 
Nifanyeje?
Usiku na mchana ni kwaya tu, wakati mwengine wanatia kanda na kuwasha maspika ya nje wao wapo majumbani.
Hawana Jumamosi, jumapili au ijumaa , siku zote wao ndio hivyo.
Kuna shule karibu nao wanaipata Pata.
Tufanyeje? Tuhame mpaka shule nayo tuihamishe?
karipoti kwa viongozi wa mtaa
 
Labda useme hujawahi experience hii scenario, hili linakuaga mzozo mkubwa sana na uzuri kwenye malalamiko kama haya hata waumini wanaoishi eneo hilo hua na wenyewe wapo kwenye mapambano mkuu
 
Jiunge nao, hutochoshwa na kelele, hata ukiwa home, wakishawasha maspika tu, unajikuta Kanisani ukinena Kwa lugha!?
 
Ulisha wai kusikia tsifa lolote limeingia kwenye machafuko kwa sababu ya uchochezi wa ba?....dini na madhehebu ni vitu hatari kwa taifa vikiendekezwa taifa linaweza kuangamia ...tumia wkili
Hoja ni frequency za kwenda kanisani vs kwenda bar!!
Dini inaweza leta machafuko hata kama watu wakienda kanisani mara moja kwa mwaka. Na machafuko hutokana na kupandikiza sumu ya chuki huko kwenye dini. Kwa mfano mafundusho ya Ukristo ni upendo amani, kweli na haki. Hapo machafuko yanatoka wapi?
 
Misikiti na makanisa ambayo Mungu hawasikii bila kupiga kelele vifungwe au serikali iwahamishie kwenye mapori ya aikiba
 
Hoja ni frequency za kwenda kanisani vs kwenda bar!!
Dini inaweza leta machafuko hata kama watu wakienda kanisani mara moja kwa mwaka. Na machafuko hutokana na kupandikiza sumu ya chuki huko kwenye dini. Kwa mfano mafundusho ya Ukristo ni upendo amani, kweli na haki. Hapo machafuko yanatoka wapi?
Kero za kidini ni moja ya vyanzo vya chuki ...tumia akili
 
Adhana dakika 2 tu sio kero, kero kama amewasha maspika wanatia makasida au madufu. Hilo Hilo halikubaliki..lkn kama anatoa mawaidha Hilo ni kero dogo sana maana anaongea mtu mmoja tu na wengine husikiliza. Kuongea mtu mmoja sio kero
Sio kero kwako kwa wengine ni KERO
Just imagine asubuhi kelele zinaanza na vitisho juu.... hapo ni zaidi ya dk 2
Bado mchana jioni na usiku...... ijumaa ndio kabisaa mji mzima ni makelele ya mawaidha yenu zaidi ya lisaa mnatupigia kelele

So kwangu mimi zote ni kelele tu sio kanisani wala msikitini
 
Nifanyeje?
Usiku na mchana ni kwaya tu, wakati mwengine wanatia kanda na kuwasha maspika ya nje wao wapo majumbani.
Hawana Jumamosi, jumapili au ijumaa , siku zote wao ndio hivyo.
Kuna shule karibu nao wanaipata Pata.
Tufanyeje? Tuhame mpaka shule nayo tuihamishe?
Dawa ni kuiba hayo maspika kila siku.
 
Kwa upuuzi kama huo Kagame aliwaweza. Ukiwafata utaskia mbona hamzikatazi bar.
Au kwanini hamkatazi misikiti.
Tunajua kuna fujo nyingi sana. Lakini kwa nini serikali isiingilie kati na kuweka utaratibu kama nchi nyingine walivyoweka utaratibu
 
Kero za kidini ni moja ya vyanzo vya chuki ...tumia akili
Duniani hatuwezi fanana Imani na mitazamo. Huwezi lazimisha wote wawe na dini wala huwezi lazimisha wote wasiwe na dini.
Shuleni ulisoma religious tolerance??
Tutumie akili....
 
Na we we okoka hayo unayoita makelele hutayasikia tena kama makelele.
 
Back
Top Bottom