GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 5,144
- 6,910
Usilalamike tu na kujitia unyonge kama kwamba huna haki. Anzia kwa mjumbe wako wa shina, mpelekee malalamiko yako juu kelele zinazozalishwa katika eneo la makazi ya watu.
Wasilisha malalamiko yako hapo ikiwezekana peleka taarifa kwa Mwenyekiti wa mtaa au kitongoji... LAZIMA suala lako litashughulikiwa maana sheria za kuwabana wavunja sheria hao zipo tayari.... Tatizo letu watanzania ni kutochukua hatua kuwawajibisha viongozi tuliowaweka madarakani, badala yake tunalalamika tu chini chini na kumwachia msala Mungu.