Jirani yangu ananigongea mlango usiku

Jirani yangu ananigongea mlango usiku

Habari wanajamii.
Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa saba nilikua nimelala zangu, mara ghafla kelele za mlango zikanishtua kutoka usingizni, mlango unagongwa..nikashindwa nifanye nini maana siyo kawaida..kama mara tano sita... akaacha kugonga na mimi nina kawaida yangu kama mtu anagonga mlango halafu haongei, siitiki mpaka nisikie sauti,Nikatoka taratibu mpaka karibu na mlango ulipo..nikasimama kusikiliza miondoko ya kutembea kwa mtu...mara nikasikia mlango wa jirani yangu ambae ni mdada unafunguliwa...taratiiiibu na kufungwa na funguo ambayo ilitoa sauti, Sasa najiuliza huyu jirani atakua anataka nini? Kama ana jambo anataka kuniambia kwanini asinifate mchana na tunaishi mahali pamoja?
Acha utoto ulitakiwa umfate umuulize shida yake nini ndio uje huku sasa sisi tutakushauri nini na hatajui shida yake... nipe namba yake ya simu nimuulize ntakupa jibu
 
Mkuu wewe ukigongewa mlango usiku wa saa saba utafanyaje?
Sasa ww umeshindwa hata kumuuliza kulikoni jirani? Unakuja kutuuliza sisi sasa sisi, tutajuaje matatizo yaliyompata jirani yako usiku
 
Kwa sababu ni kinondoni basi sawa, lakini huku tarime mtu akigonga tunatoka fasta na silaha za maangamizi, kwa kadada kama hako kangezamishwa ndani na kupewa mkuyenge mpaka kangegafua
 
Mm mtu akinigongea anytime nafungua mlango.
Akiwa hana jambo la maana nampa za uso akajambie mbele.
 
Habari wanajamii.
Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa saba nilikua nimelala zangu, mara ghafla kelele za mlango zikanishtua kutoka usingizni, mlango unagongwa..nikashindwa nifanye nini maana siyo kawaida..kama mara tano sita... akaacha kugonga na mimi nina kawaida yangu kama mtu anagonga mlango halafu haongei, siitiki mpaka nisikie sauti,Nikatoka taratibu mpaka karibu na mlango ulipo..nikasimama kusikiliza miondoko ya kutembea kwa mtu...mara nikasikia mlango wa jirani yangu ambae ni mdada unafunguliwa...taratiiiibu na kufungwa na funguo ambayo ilitoa sauti, Sasa najiuliza huyu jirani atakua anataka nini? Kama ana jambo anataka kuniambia kwanini asinifate mchana na tunaishi mahali pamoja?
Kama ulijua fika ni jirani yako ukakausha basi una roho mbaya kupitiliza.Jirani ndiyo ndugu mkuu.Vipi kama ungeamka asubuhi ukakuta alikufa kwa kukosa msaada kwamba alipatwa na homa kali
 
Habari wanajamii.
Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa saba nilikua nimelala zangu, mara ghafla kelele za mlango zikanishtua kutoka usingizni, mlango unagongwa..nikashindwa nifanye nini maana siyo kawaida..kama mara tano sita... akaacha kugonga na mimi nina kawaida yangu kama mtu anagonga mlango halafu haongei, siitiki mpaka nisikie sauti,Nikatoka taratibu mpaka karibu na mlango ulipo..nikasimama kusikiliza miondoko ya kutembea kwa mtu...mara nikasikia mlango wa jirani yangu ambae ni mdada unafunguliwa...taratiiiibu na kufungwa na funguo ambayo ilitoa sauti, Sasa najiuliza huyu jirani atakua anataka nini? Kama ana jambo anataka kuniambia kwanini asinifate mchana na tunaishi mahali pamoja?
How old are you?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Umefanya vzr sana kama angekua na shida ya maana angegonga huku anaita kama anataka kukutoa kafala je
Siyo kweli mwingine anakabwa na tatizo linalokamata sauti haitoki.anaweza tuu kugonga ila sauti huisikii
 
Habari wanajamii.
Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa saba nilikua nimelala zangu, mara ghafla kelele za mlango zikanishtua kutoka usingizni, mlango unagongwa..nikashindwa nifanye nini maana siyo kawaida..kama mara tano sita... akaacha kugonga na mimi nina kawaida yangu kama mtu anagonga mlango halafu haongei, siitiki mpaka nisikie sauti,Nikatoka taratibu mpaka karibu na mlango ulipo..nikasimama kusikiliza miondoko ya kutembea kwa mtu...mara nikasikia mlango wa jirani yangu ambae ni mdada unafunguliwa...taratiiiibu na kufungwa na funguo ambayo ilitoa sauti, Sasa najiuliza huyu jirani atakua anataka nini? Kama ana jambo anataka kuniambia kwanini asinifate mchana na tunaishi mahali pamoja?

Hadithi ya kutunga! Kama ingekuwa kweli hivyo kwa nini asubuhi hujamuuliza kama ni yeye alikuwa anagonga mlango na kulikoni usiku hivyo?
 
Sasa kwann usimuulize yy? Hii nayo ni thread ya kuanzisha!!
 
Ujinga mtupu badala umuulize jirani yako (next door) alikua anataka Nini unatuuliza sisi ambao tuko mbali mile 5000 huko.
 
Nyege zilimzidia alikuwa anakuja umpe utamu apunguze maugwadu yake. Muulize ni aje jirani?
Habari wanajamii.
Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa saba nilikua nimelala zangu, mara ghafla kelele za mlango zikanishtua kutoka usingizni, mlango unagongwa..nikashindwa nifanye nini maana siyo kawaida..kama mara tano sita... akaacha kugonga na mimi nina kawaida yangu kama mtu anagonga mlango halafu haongei, siitiki mpaka nisikie sauti,Nikatoka taratibu mpaka karibu na mlango ulipo..nikasimama kusikiliza miondoko ya kutembea kwa mtu...mara nikasikia mlango wa jirani yangu ambae ni mdada unafunguliwa...taratiiiibu na kufungwa na funguo ambayo ilitoa sauti, Sasa najiuliza huyu jirani atakua anataka nini? Kama ana jambo anataka kuniambia kwanini asinifate mchana na tunaishi mahali pamoja?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom