Jirani yangu ananigongea mlango usiku

Jirani yangu ananigongea mlango usiku

Humu ndani kuna mambo!! Badala umfuate umuulize unakuja kutueleza sisi
 
Hadithi ya kutunga! Kama ingekuwa kweli hivyo kwa nini asubuhi hujamuuliza kama ni yeye alikuwa anagonga mlango na kulikoni usiku hivyo?
Sijamuuliza kwa sababuhakutaka nijue kama ni yeye, lakini milango yake ikiwa inafungwa ulinipa hakika kwamba ni yeye.
 
Chura ipo....

Mpe nao tu......

Huyo anataka mpipi,jiongezeee

Ova
 
Mzee usiku usikiamini hata kivuli chako, muulize ama mwambie jana kuna mtu alinigongea usiku je ulikuwa ni wewe? Akisema si yeye potezea akisema ni yeye akuambie alikuwa anataka nini na ukiona maelezo hayaeleweki kuwa makini nae
 
Habari wanajamii.
Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa saba nilikua nimelala zangu, mara ghafla kelele za mlango zikanishtua kutoka usingizni, mlango unagongwa..nikashindwa nifanye nini maana siyo kawaida..kama mara tano sita... akaacha kugonga na mimi nina kawaida yangu kama mtu anagonga mlango halafu haongei, siitiki mpaka nisikie sauti,Nikatoka taratibu mpaka karibu na mlango ulipo..nikasimama kusikiliza miondoko ya kutembea kwa mtu...mara nikasikia mlango wa jirani yangu ambae ni mdada unafunguliwa...taratiiiibu na kufungwa na funguo ambayo ilitoa sauti, Sasa najiuliza huyu jirani atakua anataka nini? Kama ana jambo anataka kuniambia kwanini asinifate mchana na tunaishi mahali pamoja?
Watu wengine wanajkuta mahandsom boy kwer...

Et haelew knachoendelea anakuja kutuulza ss maswal ya kumuulza Jran yake

Kwa jcho lingine .. tumasema n domozege lililojfchia kwa mlango wa "usiku wote huu ,nna usingiZ na nmechoka
 
ulikua sahihi kabisa kutomfungulia, binafsi mi usiku mtu akiinita hata kama namsikia namvungia mpaka aite zaid ndo ntakapo muuliza we nani shida nini akijibu ndo ntaangaika kumfungulia, pili lazma uwe na namba za majirani zako incase of emejency, dunia ishakua ivyo hii utachomolewa figo kizembe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom