Jirani yangu ananigongea mlango usiku

Jirani yangu ananigongea mlango usiku

Hukusema yote bali umeparaza tu. Acha ufala funguka mabaharia tukupe mbinu.

Huenda alitaka ufungue mlango ili mjuba aingie akulawiti. Dunia ina mambo sana jombaaa.

Usidhani kila wakati ni fursa,kuna wakati nawe waweza kuwa fursa kwa wenye uchu.

[emoji2
Mchana anatembea kama 'Lokole' halafu ataki kugongewa usiku

!

!
Jamaa mchicha, watu wanataka kuserereka
 
Angesema" oyaaaa" Mimi fulani. Alikuwa na lake jambo, au ni mwanga??
 
Yaaani ni Rahisi kuwaumiz watu JF kuliko kumuuliza jiran Yako alikuwa anataka nini. Mnajaza to server
Kwanini kuna majukwaa tofauti tofauti humu JF?
Hatujazi server..bali ni sehemu ya jamii
 
Sasa kama hajui akivuliwa chupi maana yake nini? siyo kila mdada wa kulala nae kisa wewe kidume.
Sasa ndo mtu aseme afanye nini.? Ukiona mwanamke anakuvulia chupi maana yake ameona kuna nafasi hy.
 
Si ndiyo apo, Afu wengine wanafikiri kufungua mlango usiku ni kirahis rahisi hivyo..
Harafu akarudi kimya kimya mpaka kwenye chumba chake na kufungua mlango taraatibu huku ukimsikia ukute alikua na jambo lake na kama anashida na wewe bac atakufata mchana huu au jioni
 
Kuna wimbo mmoja una mistarii "Unapopatwa na shida kubwa usiku wa manane, jirani yako ndiye wa kwanza kukusaidia"
"Mimi na wewe ni kitu kimoja, haina maana ooh oooh haina maana kunyimana"
"Sisi sote ni majirani, haina maana kunyimana"
🎶🎶🎶🎶
Natumaini umenielewa mkuu. Huyo ni jirani mwema sana. Na tumehimizwa mpende jirani yako kama unavyojipenda.
 
Kuna wimbo mmoja una mistarii "Unapopatwa na shida kubwa usiku wa manane, jirani yako ndiye wa kwanza kukusaidia"
"Mimi na wewe ni kitu kimoja, haina maana ooh oooh haina maana kunyimana"
"Sisi sote ni majirani, haina maana kunyimana"

Natumaini umenielewa mkuu. Huyo ni jirani mwema sana. Na tumehimizwa mpende jirani yako kama unavyojipenda.
Shida ni kwamba majiran zetu hawa hawa wengine ndio chanzo cha matatizo sasa ye si angegonga na kuita taraatibu ili mtu ajue ni nani sasa unagonga kimya kimya kama wapiga nondo buana
 
Kwahiyo tukusaidiaje? kama jirani yako umeshindwa kumuuliza,huku JF tutajuaje shida ya huyo jirani yako?
 
Shida ni kwamba majiran zetu hawa hawa wengine ndio chanzo cha matatizo sasa ye si angegonga na kuita taraatibu ili mtu ajue ni nani sasa unagonga kimya kimya kama wapiga nondo buana
Ungongaji mlango tunatofautiana sana, kuna wengine ni kawaida yao kugonga kwa kishindo kikubwa.
Umenikumbusha kuna jamaa mmoja alikuwa jirani yangu, kuna kipindi alikuwa akigonga mlango, mpaka unaweza kuhisi ni watu wasiojulikana wamekuja kutoa roho yako.😂😂
 
Habari wanajamii.
Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa saba nilikua nimelala zangu, mara ghafla kelele za mlango zikanishtua kutoka usingizni, mlango unagongwa..nikashindwa nifanye nini maana siyo kawaida..kama mara tano sita... akaacha kugonga na mimi nina kawaida yangu kama mtu anagonga mlango halafu haongei, siitiki mpaka nisikie sauti,Nikatoka taratibu mpaka karibu na mlango ulipo..nikasimama kusikiliza miondoko ya kutembea kwa mtu...mara nikasikia mlango wa jirani yangu ambae ni mdada unafunguliwa...taratiiiibu na kufungwa na funguo ambayo ilitoa sauti, Sasa najiuliza huyu jirani atakua anataka nini? Kama ana jambo anataka kuniambia kwanini asinifate mchana na tunaishi mahali pamoja?

Wanaume kweli tumebaki wachache sana.

Haya yalinikuta na mtoto mmoja wa kihaya kipindi naishi Sinza, usiku mnene mtoto alijileta mwenyewe mlangoni.

Moto aliopoelekewa siyo ya nchi hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom