Jirani yangu ananigongea mlango usiku

Jirani yangu ananigongea mlango usiku

Habari wanajamii.
Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa saba nilikua nimelala zangu, mara ghafla kelele za mlango zikanishtua kutoka usingizni, mlango unagongwa..nikashindwa nifanye nini maana siyo kawaida..kama mara tano sita... akaacha kugonga na mimi nina kawaida yangu kama mtu anagonga mlango halafu haongei, siitiki mpaka nisikie sauti,Nikatoka taratibu mpaka karibu na mlango ulipo..nikasimama kusikiliza miondoko ya kutembea kwa mtu...mara nikasikia mlango wa jirani yangu ambae ni mdada unafunguliwa...taratiiiibu na kufungwa na funguo ambayo ilitoa sauti, Sasa najiuliza huyu jirani atakua anataka nini? Kama ana jambo anataka kuniambia kwanini asinifate mchana na tunaishi mahali pamoja?
Mambo mengine jiongeze ndugu mtoto wa kike huyo kwan atakufanyaje, leo tena akigonga mfungulie mkaribishe muulize shida nini kama unaweza mpe hitaji lake akalale, usikute anataka kukuomba chunvi😅😅
 
Habari wanajamii.
Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa saba nilikua nimelala zangu, mara ghafla kelele za mlango zikanishtua kutoka usingizni, mlango unagongwa..nikashindwa nifanye nini maana siyo kawaida..kama mara tano sita... akaacha kugonga na mimi nina kawaida yangu kama mtu anagonga mlango halafu haongei, siitiki mpaka nisikie sauti,Nikatoka taratibu mpaka karibu na mlango ulipo..nikasimama kusikiliza miondoko ya kutembea kwa mtu...mara nikasikia mlango wa jirani yangu ambae ni mdada unafunguliwa...taratiiiibu na kufungwa na funguo ambayo ilitoa sauti, Sasa najiuliza huyu jirani atakua anataka nini? Kama ana jambo anataka kuniambia kwanini asinifate mchana na tunaishi mahali pamoja?
Kwenye miti hakuna wajenzi.
 
Ungongaji mlango tunatofautiana sana, kuna wengine ni kawaida yao kugonga kwa kishindo kikubwa.
Umenikumbusha kuna jamaa mmoja alikuwa jirani yangu, kuna kipindi alikuwa akigonga mlango, mpaka unaweza kuhisi ni watu wasiojulikana wamekuja kutoa roho yako.
Anagonga kama anakimbizwa na kifo
 
Anagonga kama anakimbizwa na kifo
Anagonga mlango kama vile ametumwa akuue, halafu ukitoka nje unakutana na mtu ambaye hata kugombana naye huwezi, kwa sababu ni mtaratibu kwa hiyo nachekaga sana halafu namkaribisha.
 
Mwanaume mzima unanyata...chomoka na panga na sime akakueleze kwanini anakusumbua
 
Hukusema yote bali umeparaza tu. Acha ufala funguka mabaharia tukupe mbinu.

Huenda alitaka ufungue mlango ili mjuba aingie akulawiti. Dunia ina mambo sana jombaaa.

Usidhani kila wakati ni fursa,kuna wakati nawe waweza kuwa fursa kwa wenye uchu.

[emoji2
 
Kama ndiyo mara ya kwanza ulitakiwa ufungue umsikilize huenda alikuwa na emergence

Jibu ni hili hapa. Kama hawana mazoea basi ni emergency alihitaji msaada. Inshort Jamaa kazingua.
 
ningekua mimi namchqmba kilokole then namkalibisha
😂😂😂 Kila mtu ana kero zake mkuu, hata mimi na wewe tukiwa majirani kuna sehemu nitakukwaza tu. Kitu kizuri ni kupuuzia vitu mkuu, ukisema kila mtu umchane ukweli utakosana na kila mtu bila sababu, na majirani wengi ni temporary tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom