Ila me naonaga mtu ambaye nikigombana nae mwanzo basi huyo ndio anakua rafiki yangu forever so kichambo kawaida tuKila mtu ana kero zake mkuu, hata mimi na wewe tukiwa majirani kuna sehemu nitakukwaza tu. Kitu kizuri ni kupuuzia vitu mkuu, ukisema kila mtu umchane ukweli utakosana na kila mtu bila sababu, na majirani wengi ni temporary tu.
Kwanini akugongee wewe ungemuitikia ukamsikiliza shida yake huenda lalda alikuwa na jambo jema rafiki yangu nataka nikufundishe kitu kubali wito kataa manenoHabari wanajamii.
Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa saba nilikua nimelala zangu, mara ghafla kelele za mlango zikanishtua kutoka usingizni, mlango unagongwa..nikashindwa nifanye nini maana siyo kawaida..kama mara tano sita... akaacha kugonga na mimi nina kawaida yangu kama mtu anagonga mlango halafu haongei, siitiki mpaka nisikie sauti,Nikatoka taratibu mpaka karibu na mlango ulipo..nikasimama kusikiliza miondoko ya kutembea kwa mtu...mara nikasikia mlango wa jirani yangu ambae ni mdada unafunguliwa...taratiiiibu na kufungwa na funguo ambayo ilitoa sauti, Sasa najiuliza huyu jirani atakua anataka nini? Kama ana jambo anataka kuniambia kwanini asinifate mchana na tunaishi mahali pamoja?
We nawe ni ufala au nini?!Habari wanajamii.

Huenda wewe ndio ulikuwa mlengwa wa kulawitiwa mpaka rectum ingetokeza nje. Mungu alikuepusha ingawa hao jamaa walimuua ndugu yako. So sadUlifanya vema kutokuitika kwa usiku ule, lakini asubuhi ungemuuliza alikua na shida gani na ungemwambia hua hufungui mlango kama mgongaji hasemi kitu,
Mwaka 2010 nilinusurika kifo lakini aliuwawa ndugu yangu baada ya usiku kuitika alipoitwa,
Mimi nilisikia aliyeita sikuitika yeye akakurupuka kuitika wakamshoot risasi ya kichwa......
Tuwe makini sana kuitika tika usiku tunapoitwa hata kama akuitaye ni mtu wako wa karibu sana, chungulia kwanza mazingira kabla hujamuitikia.

Siku nyingine usikenue tu meno yote 32 nje nje eti fursa.Na ndiyo maana sikufungua, unajuaje mtu usiku huo ana jambo gani?

Picha tafadhari, atakuwa alitaka ukamsaidie kuondoa loki.Habari wanajamii.
Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa saba nilikua nimelala zangu, mara ghafla kelele za mlango zikanishtua kutoka usingizni, mlango unagongwa..nikashindwa nifanye nini maana siyo kawaida..kama mara tano sita... akaacha kugonga na mimi nina kawaida yangu kama mtu anagonga mlango halafu haongei, siitiki mpaka nisikie sauti,Nikatoka taratibu mpaka karibu na mlango ulipo..nikasimama kusikiliza miondoko ya kutembea kwa mtu...mara nikasikia mlango wa jirani yangu ambae ni mdada unafunguliwa...taratiiiibu na kufungwa na funguo ambayo ilitoa sauti, Sasa najiuliza huyu jirani atakua anataka nini? Kama ana jambo anataka kuniambia kwanini asinifate mchana na tunaishi mahali pamoja?
Watu hawaaminiki Mkuu.Aise kuwa naye makini
Hiyo ni tiba Mkuu.Punguza masaa ya kulala mkuu.. mwanaume unalalaje masaa nane? sita yanatosha kabisa
Hakuongea ..alikua akigonga tuu.Hajakuuliza chochote
Mambo mengine jiongeze ndugu mtoto wa kike huyo kwan atakufanyaje, leo tena akigonga mfungulie mkaribishe muulize shida nini kama unaweza mpe hitaji lake akalale, usikute anataka kukuomba chunvi![]()

Atakuwa alishakunyonyea kidole sema wewe husomeki.Habari wanajamii.
Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa saba nilikua nimelala zangu, mara ghafla kelele za mlango zikanishtua kutoka usingizni, mlango unagongwa..nikashindwa nifanye nini maana siyo kawaida..kama mara tano sita... akaacha kugonga na mimi nina kawaida yangu kama mtu anagonga mlango halafu haongei, siitiki mpaka nisikie sauti,Nikatoka taratibu mpaka karibu na mlango ulipo..nikasimama kusikiliza miondoko ya kutembea kwa mtu...mara nikasikia mlango wa jirani yangu ambae ni mdada unafunguliwa...taratiiiibu na kufungwa na funguo ambayo ilitoa sauti, Sasa najiuliza huyu jirani atakua anataka nini? Kama ana jambo anataka kuniambia kwanini asinifate mchana na tunaishi mahali pamoja?
ilikuwa ni dharura ya kutaka mgegedo😁😁😁Kiukweli kuamshana usiku inaboa labda iwe kuna dharura au tatizo ..
Bila shaka wewe utakuwa mwanaume wa Dar. Badala ya umuulize mhusika ulipoamka asubuhi, unakuja kusumbua watu JF?Habari wanajamii.
Usiku wa kuamkia leo, mida ya saa saba nilikua nimelala zangu, mara ghafla kelele za mlango zikanishtua kutoka usingizni, mlango unagongwa..nikashindwa nifanye nini maana siyo kawaida..kama mara tano sita... akaacha kugonga na mimi nina kawaida yangu kama mtu anagonga mlango halafu haongei, siitiki mpaka nisikie sauti,Nikatoka taratibu mpaka karibu na mlango ulipo..nikasimama kusikiliza miondoko ya kutembea kwa mtu...mara nikasikia mlango wa jirani yangu ambae ni mdada unafunguliwa...taratiiiibu na kufungwa na funguo ambayo ilitoa sauti, Sasa najiuliza huyu jirani atakua anataka nini? Kama ana jambo anataka kuniambia kwanini asinifate mchana na tunaishi mahali pamoja?
Changamka kula mzigo huoHabari wanajamii.

Duh Umekariri mpaka saut za milango na funguoHabari wanajamii.