Jirani yangu amefumaniwa usiku wa saa tatu na mume wake

Mind your own business,
Acha kufuatilia maisha ya watu,

Huo muda wa kufuatilia maisha ya watu utumie kujifundisha kuandika lugha yako kwa ufasaha,

Kingine,tafuta kazi ya kukuweka busy.
 
Wakuu vip hapo

Nimepewa taarifa mbaya San kwamba jana majira ya saa tatu za usk jirani angu alimpost mchepuko wake aje ampige shoo fupi nje ya choo, choo Cha nje ya public

Dad yule ni mpole sna jmn siku Dhani kama na yey angeweza kuwa na tabia mbaya ,binafsi niliwai mtaka lkn bas nikauchuna Baad ya kuona kama vile kapole sana kumbe ni mtalaumu

Sas ajabu miez miliw iliyo pita nilipita jirani na choo chake nikasikia kama watu wawili hv wanaoga nikadhani wako na mume wake kumbe hata siyo yey kwani muda mfupi baadae nilikwenda dukani nikamkuta mume wake anapiga soga. hapo nilitilia mashaka sna kumbe mama alikuwa anapokeaa mzigo wa mchepuko

Sas jamaa amemfukuza kwao sijui Huwa wadada mkifika makwenu na huku mmefumaniwa Huwa mnakuwa na hali gani mbele ya wazaz wenu ..kake zenu wadogo zenu

Siyo kwamba mm ni mkamilifu sna kwa sababu na mm natoka na mam mwenye nyumba ni swala la muda tu
Sawa mwanetu👏👏👏
 
hakuna alie mkamilifu chini ya jua,
na ni muhimu sana wana ndoa kuwajibika ipasavyo na kutimiza mahitaji muhimu ya kimwili na kiuchumi kwa familia zenu.

ubize kupita kiasi huchochea uchovu kupita kiasi ambao humsukuma mwanandoa moja wapo nje ya reli kukamilisha hitaji fulani la nafsi yake 🐒
 
Stori tuzipendazo, naamini huu uzi utatambaa kwa kasi ya ajabu leo na kesho...
 
Mimi na wake za watu hapana, wahuni wa kitaa kibao watajipigia siku unaona na wewe upunguze ugwadu ndio unakamatwa unatolewa mfano
 
Jitahidi mfukoni mwako usikose Vaseline kila uendapo......
 
Back
Top Bottom