We endelea kula vipaja tu, usisite kuja tena kutupa mrejeshoHaha acha basi mkuu
Safi, mke wa mganga akikupasia sufuria la nyama usikatae,pokea halafu nistue pm niijieSili sasa hivi mkuu
Sili Mimi, nawapa mbwaKhaa kumbe unataka? Vipi wewe huogopi kujikuta kitandani kwa mganga?
Haha acha ulongo
Kumbe jiran.yako mganga ndio maana kila.siku napata hasaraHaha acha ulongo
Hahaha na wewe si utafute kiboko yakeKumbe jiran.yako mganga ndio maana kila.siku napata hasara
Ahaa wap badala hasara upate ww napata mm hapo ipo namna
Haha sasa mimi si jirani yake ananipa tibaAhaa wap badala hasara upate ww napata mm hapo ipo namna
Na wewe njoo ushike uwe unauza milioni kwa sikuHa ha ha ha unaona sasa shaur yako uanze kushikishwa matunguli
Ha ha ha ha hayo ya tunguli hata sitak ww uwe unakuja tu na hao kuku tule
Nyoo kumbe kuku unawapendaHa ha ha ha hayo ya tunguli hata sitak ww uwe unakuja tu na hao kuku tule
Ukishakula nyama automatikale umeshiriki tunguliHa ha ha kuna mtu hapend kwio... Tena ukija uje na vipapatioo navpenda sanaa
Hzo tunguli pambana nazo tu