Jirani Mganga

Haha pole boss lakini nakushauri ukamchukue dogo
 
Havina shida hivyoo we kula !! Akikutaka hata bila ya kukupa misosi yake anauwezo wa kukupata.
 



Teh kwahiyo hao wakabaji ni wenye nyumba wenyewe?
 
Binafsi nakushauri usile, just don't eat. Binadamu wa siku hizi tumekuwa wanyama, hata kama sio mganga/mlozi/mchawi. Anaweza kukufanya kitu kibaya. Sema asante nashukuru, nimeshakula...
Huku kwetu uswaz utaonekana unaringa. Labda uchukue ukatupe mbali.
 


Pole sana msukule mtarajiwa. Karibuni tutakuona Kariakoo kwenye maduka ya wahindi, waarab na wapemba kuvuta wateja.
 
Mkuu hakikisha kabla ya kula unakiombea chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…