Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,410
- 119,112
- Thread starter
- #21
Haha pole boss lakini nakushauri ukamchukue dogoAta ungekuwa wewe usingeekaa apo..kifupi nyumba ina masharti kama yote.Siku namwambia mwenye nyumba nimepata sehemu bado kumalizia kodi kidogo ndani ya wiki moja..sikulala usiku wake(nilisumbuliwa kama nakabwa) na nilivyoamka nikasepa zangu.Yaan ni kma nilitoa taarifa kuwa wakikaza tuu kidogo naamsha na ndo wakafanya kweli.