KingOligarchy
Senior Member
- Sep 28, 2013
- 130
- 351
- Thread starter
- #21
Hahahahhahah, Kule russia tunatumia neno Тушеная капуст hii nikimaanisha side dish ya cabbage + Kurnik huyu ni kuku wa kirusi.KingOligarchy Mrusi wa Bongo, Mbona huu msosi uliojaa mbalaga inaonekana Kama unasindikizwa na kamyama fulani amazing🐽🐷🐽🐷
ukishiba tunaenda kurelax pale Tsaritsyno Park, kwenye jiji la moscow huku tukipata Stolichnaya Eli au Beluga au drova vodka safi sana hizi za kirussia.