Jinsi ya kumuweka mume wako kiganjani

Jinsi ya kumuweka mume wako kiganjani

Mkuu lusungo tuache tupumueeeeee. Aliekuambia tunazini nani.

Ma quote yenyewe marefuuu asome nani?
 
Last edited by a moderator:
He is not married, anadhani kila mtu anafanya zinaa.

A whip from a:whip::whip: hubby is the best of them all.

Ngoja amsikie nameless na Blue 3


Atuache tupumue.

Pretenders are worse than murderers.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu lusungo tuache tupumueeeeee. Aliekuambia tunazini nani.

Ma quote yenyewe marefuuu asome nani?

utaelewa tuu
tunatakiwa kuukataa ubongo wa Nazi kwakupenda vitu vyepesi
 
Last edited by a moderator:
Maandiko pia yanasema kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe. So kindly tambaa huko. Acha hizo za nitoke vipi.

mbona panic?

"ALITAKIWA KUIRUDIA DHAMBI ILE TENA NA TENA USIKU NA MCHANA"
 
Ninayo tena zile za Kibantu!!!!

Hiyo nzuri. Na kale kawimbo ka Marehemu TX Moshi unakajua? haha wenzio wanajutaga hadi kujata lolz

Maana yangu ni kuwa; kila jinsia ina majukumu yake, ina mazuri (fursa) na magumu yake. Hivyo kila binadamu na amshukuru Mungu vile alivyozaliwa, atumie fursa alizonazo kwa jinsia yake na apambane na changamoto zilizopo pia.
 
lusungo unapiga pande zote au ndo unatimiza maandiko kuwa siku za mwisho injili itahubiriwa kwa kila kiumbe....kwa mtindo huu basi Yesu yuko mlangoni.
 
Wanawake mna kazi sana wallah.

Laiti mngejua ujanja wetu mdogo sana mkitujulia, msingekuwa mnahangaika hivi

Nawatakieni heri mwaego.

Alafu mpwa ahadi ya jana mbona hivyo?
 
Back
Top Bottom