Jinsi ya kumuweka mume wako kiganjani

Jinsi ya kumuweka mume wako kiganjani

Mnatafuta namna ya kumuweka mwanaume kiganjani?

Mwanaume gani huyo?

Hawa hawa wa kujipaka poda?

WANUME tuko wachache sana siku hizi shau ri yenu

Mtakuja kuweka kiganjani na mashoga!!
 
kinachofanya wanaume watoke penbeni ni mabadiliko hasi yanatotokea ndani hasa tabia na maumbile. ikiwa unaweza ku retain hali ileile kwa muda mrefu uko uwezekana wa baba kutulia. tatizo wanawake wengi hawawezi haya maana wakishampata mwanamme hubweteka wakisahau wao ni maua na kila siku yapo yanayochanua! wanaume ni nyuki na asali wataifuata kwenye maua.
 
Mwanamke muheshimu mume wako tu as heshima mambo yote yatanyooka
 
Kwa mimi ambaye nawameendeaga wauza vitu vya promotion kwa hyo utaact kama wao ili mradi kuniwekaga kiganjani.
 
mwanaume yyte lazima awe mwanaume biashara za kuekana kiganjan ni za kizaman............sasa akiwa kiganjan pesa atatafuta wapi?? na wewe huendi job??

mpe uhuru mwana wa mwenzio na muda mwingine bora apige mechi za nje akirudi ndani ana heshima yake. yann kupata jaka moyo kisa mtoto wa mwenzio??

haya ndo yalee ya

'' urembo wa kachumbari kukaa juu ya pilau ikadhan imepakatwa kumbe ya kwanza kuliwa''

Mkuu huu uhuru wa kupiga mechi za nje unadhani ni wanawake wangapi wanaweza kuvumilia?!

Na kama kwa wanaume inakubalika ina maana wanawake nao wawe huru kupiga mechi za nje?
 
Aisee wanawake huwa wanapenda kudanganyana na huwa chanzo cha kuvurugika kwa mahusiano yao.

Hivi huwa najiuliza kwanini wanawake wanapo kutana huwa saikolojia yao ina badilika?

Hivi kumuweka mtoto wa mwenzio kiganjani kuna tofauti gani na kumroga? Hivi hizi njia zikishindikana kweli atashindwa kwenda kwa mganga?

Hivi wanawake huwa mnajiuliza kama wanaume huwa wanahangaika na kuwapigania kiasi hiki?

Yani u act kama barmaid hili upendwe? Hivi kwanini huku act kama barmaid kabla ya kuolewa.

Kwakweli wanawake kwa kujazana ujinga amjambo.

Hivi kwanini hamfikirii kama mgejisikiaje kama mnapata habari watoto wenu wa kiume wanataka kuwekwa viganjani.

Avatar yako tuu........
 
nimuweke kiganjani ili iweje?
hivi wanaume mnawajua au mnawasikia? ukimuendekeza hivyo atakuburuza kama rug.....wengine hapa tulishaenda Beijing :wave:
 
Ticha ushaanza maneno yako....50/50 sina pa kuelemea ila ukiongeza juhudi za kumbana mwanamme ni sawa na kumpa akili ya kuvumbua mbinu mpya za kujinasua. Amini siyo mwaminifu awe mwaminifu kuliko kuamini ni mwaminifu kisha utiwe ndimu mchanganyiko wa pilipili.
mwali umeona enh!!!!!!!!!!!

waswahili husema .............''mja angawa kamili huambiwa yu kombo'''
 
Really talk as a Teacher.
ninasema ukweli Matola, unajua ukichunguza kwa makini sana wanawake wengi wanakufa na presha kwa kaumini kwamba wenzi wao ni malaika na kwamba hawawez kuwakosea.

mie toka siku naamua kuwa ndoani nilisema hivi wahenga hawakuongopa waliposema .........................
''mja angawa kamili huambiwa yu kombo''

ukiish eti nifanye haya na haya ili nimweke kiganjan utakesha miaka mia unasononeka, just relax na useme ni mume wangu huyu namtendea yale yanipasayo kutenda kama mke basiiiiiiiiiiiiii yeye akitaka ya zaioada hiyo so kazi yangu.
ukiish kwa kujihami hami ndo utakufa kwa sonono
 
Last edited by a moderator:
naomba mwongozo..

Badiebey huoni kama ukiwa mwanaume huhitaji kuhangaika sana mara ujifanye house girl, mara bar maid, mara mama nitilie kumbe mwanaume kazi ni moja tu nayo ni KUSAKA NOTI na nyigine ni kumkuna panapo mfaa baaaaaaasi kumbe hata mimi ninamshukuru Mungu aliye niumba mwanaume.
 
Mi waga navaa nguo zake halafu namuigiza vile anagomba,anancheka na akiwa kwenye serious topics.Achia mbali ananvyochezaga mziki basi mwenyewe anafurahi na kucheka kama mtoto.Ila sitaki mambo ya kumweka mtu kiganjani mwisho anitoboe ....kaa na mtu siku zenu zikiisha msing'ang'anianae.peaneni nafasi then explore the beuty of Nature
 
Back
Top Bottom