Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,435
Na watu wote waseme AMINA.
ameen.
Na watu wote waseme AMINA.
sikutaki radhi asee
wanawake ndo twateseka
Ila sio kwa kuwa housegirl sijui mamalishe na kama hayo!!!!!!!
Hivi viazi ulaya ndio hutengeneza chips na pia huweza kuwa crisps!!!!????
Mmmh! Nimependa hapo pa hauzgelo!! ofkoz creativity katika ndoa ni jambo la msingi sana kwa wanawake katika kudumisha ndoa mana wao ndio wajenzi wakuu wa familia. Ila wanawake wa siku hizi walivyobize kutafuta pesa mmmmmh! Sijui!! Wangu ntamfunga kamba miguuni kila akirudi nyumbani haki vilee!!
Siku nyingine studenti
ameen.
na siku nyingine anaweza toka kama CHANGUDOA ili kumweka kiganjani mwanaume?
Hahaahaahaaaaaaha kumbe unajua ila ulikuwa unatingisha njiti za kiberiti du jaga mtwe.
Hell no. In my own way. Najua level yako.:evil::evil:
I may be bad but am perfectly good at it.....sticks and stones may break my bones but chains and whips,they excite me..... just singing mie Karucee.
SIKU NYINGINE SEKRETARI LOL!!!!!!!
Miss u mdada khaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
Mhhhh umetishaaaaaa!!!!!!!My level????!!!!
Aaaaanh kumbe bongo star search tuna muwakilishi!!!!
mada hii imetolewa na me nadhani hebu soma vizur Excel
Siku nyingine kama mama mchungaji lol!!!!!!!!!!!!!!!!
Make that ameen times two. One for you one for me.
ahahahahaaha
af nambie maana ya jina lako