Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Nani anachukia uzima..??
Sio ki hivi bwana weee.
Nani anachukia uzima..??
Hahaaa unavaa sketi ya shule umefunga na pini afu shati unafunga kifungo kimoja tu...mweSiku nyingine studenti
Wengine sisi ni Kunguru,hatufugiki,hata tupewe au tufanyiwe nini,tutarudi tu porin tukipata nafasi(tunahitaji maombi, honestly)
Siku nyingine studenti
Nakufahamu haswaa, wewe wala si wakubebewa manati
Sema Amen basiii.
hahahaha yani ni jelaaakama hivi....:ballchain:
Wanawake mna kazi sana wallah.
Laiti mngejua ujanja wetu mdogo sana mkitujulia, msingekuwa mnahangaika hivi
Nawatakieni heri mwaego.
Is this English?There is no secreat ingridient
Na siku nyingine unakuwa dada poa(changudoa) ili kummaliza kabisa hahahhahaha!ko siku nyingine unakuwa ka house girl,siku nyingine ka mama ntilie siku nyingine ka baamed
kazi kweli kweli yote kumuweka kiganjani
Na siku nyingine unakuwa dada poa(changudoa) ili kummaliza kabisa hahahhahaha!