Jinsi ya kumuweka mume wako kiganjani

Jinsi ya kumuweka mume wako kiganjani

CKu hizi bora liende tu, siwanawake wala sie wanaume, wote hatutabiriki, utafanya kila kitu ila majanga yako pale pale!!
 
Wanawake mna kazi sana wallah.

Laiti mngejua ujanja wetu mdogo sana mkitujulia, msingekuwa mnahangaika hivi

Nawatakieni heri mwaego.

mkubwa sisi wanaume haturidhiki. Ni ukweli MCHUNGU.
 
Hebu ni whtsup hu ujanja wenu please!

Wanawake mna kazi sana wallah.

Laiti mngejua ujanja wetu mdogo sana mkitujulia, msingekuwa mnahangaika hivi

Nawatakieni heri mwaego.
 
Mmmh! Nimependa hapo pa hauzgelo!! ofkoz creativity katika ndoa ni jambo la msingi sana kwa wanawake katika kudumisha ndoa mana wao ndio wajenzi wakuu wa familia. Ila wanawake wa siku hizi walivyobize kutafuta pesa mmmmmh! Sijui!! Wangu ntamfunga kamba miguuni kila akirudi nyumbani haki vilee!!

kama hivi....:ballchain:
 
mmmh! Nimependa hapo pa hauzgelo!! Ofkoz creativity katika ndoa ni jambo la msingi sana kwa wanawake katika kudumisha ndoa mana wao ndio wajenzi wakuu wa familia. Ila wanawake wa siku hizi walivyobize kutafuta pesa mmmmmh! Sijui!! Wangu ntamfunga kamba miguuni kila akirudi nyumbani haki vilee!!
haya yote ni maagizo, uhalisia hakuna ,wewe mpende mumeo .....reward /namana gani atapokea ipo kwenye anga la uweza wake!
 
tabia haina dawa..hata ufanye nn kama ni wa kutoka atatoka tu
 
Ni kweli wanaume wengi hawana shukrani lakini pia wengi wanapenda mwanamke aliye vizuri kitandani. Mwnamke ambaye saa yoyote ukiwa nae nyumbani yupo tayari kwa ajili yako na pia anayajua majamboz panapo 6 x 6 lazima tu utakaa kiganjani. Kama Kila siku napata dozi ya kunitosha almost karibu kila siku (labda siku amabazo yupo mp) siwezi kucheza nae mbali. Unajua kuna mwanamke hata akisafiri kwenda kusalimia wazazi zikipita siku tatu unaanza kummisi ukifikiria mautundu yake kitanda na shughuli yake ilivyo pevu? Mengineyo ni yale ya kawaida ambayo wanaume wanahitaji toka kwa mwanamke kama vile awe anajiheshimu, anajali, anamjua mungu, understanding na anajua matumizi mazuri ya hela, ni mshauri mzuri, mvumilivu hasa wakati mambo yamebana, etc. etc. Huna haja ya kujifanya sijui barmaid, housegil, etc wakati wewe ni mvivu kitandani na pia mchoyo kwa mumeo.
 
Back
Top Bottom