ameen,ameen,ameen
and i make one more extra that we will say it together.
chopping somebody's money u must be very tricky
Utacheka mpaka uanguke Nipe mji kwanza.
Wanawake mna kazi sana wallah.
Laiti mngejua ujanja wetu mdogo sana mkitujulia, msingekuwa mnahangaika hivi
Nawatakieni heri mwaego.
Kuzaliwa mwanaume raha sana nakushukuru Muumba kwa kuniumba Mwanaume.
eti mara nyingine uact kama ,housegal,mamantilie,barmaids.na wakati mwingine kama mwanafunzi au mwalimu na vitoto vidogo hapo tayari ushamweka mume kiganjani!mie wangu hanywi pombe so hakutani na barmaids,hali kwa mama ntilie anakula steers au chinese restaurants wanaserve wanaume ,hajawahi pewa chakula na housegal toka amenioa au mtoto yeyote nisipompa mimi anachukua mwenyewe haya siwezi act kama housegal maana sijawahi ona akimpa mtu msosi .sasa sinitachekwa mimi hayo mapretend lolHebu niadisie........amesema tunafanyaje..........?
Unajua wanaume
tunaoperate differently na wanawake, kiumbe mgumu kumuelewa ni kiumbe wa
kike, wanawake huangaika na mitego mingi sana kuwanasa wanaume kitu
ambacho mara nyingi hutufanya wanaume tuone kama tunaigiziwa, au unaona
waz kuwa mwanamke anapretend, kwa mbinu hizo za kumkamata mume ijulikane
kuwa wanawake huwa na hulka tofauti, wanaoweza kufanya hivi ni wale
outgoing women/ girls. Kumbukeni wapo wanawake hawajawai kwenda bar na
kamwe hawatoenda, wengne hawajawai kumiliki house girl kwani wao wenyewe
ndo ma housgirl na wengne ni wenye aibu naturally so kamwe hawez
michezo ya kimaigizo kama hii. Hivi jamani wewe mume leo ghafla tu
unarudi home unamkuta mkeo kavaa kibaa medi au ki mama ntilie utapata
pcha gani? Utaona ni mchezo tu na waweza kuboreka tu koz utaona kuwa mke
anaprerend au anajitutumua. Kama mwanamke unaejiamini huna sababu ya
kukaa na kuwaza yote hayo koz wanaume hutumia very simple mathematic,
akikuita we bahati,,,we itika abee mume wangu. Akifoka kaa kimya na
akimaliza mwambie samahani mume wangu, baaaaaas. Cha kutambua ni kuwa
mwanamke usijitutumue koz huna sababu kumweka mume kiganjani kwasababu
mume akiridhika na wewe atakaa kiganjani kwako yeye mwenyewe. Ewe mke
jaribu kumwelewa sana mumeo, ukimwelewa vema atakuona kama mama yake na
usihangaike sana kumpenda koz ukimwelewa tu ni zaidi ya kumpenda. Ewe
mwanaume usihangaike sana kumwelewa mkeo kwani kamwe hutamwelewa, yeye
huitaji kuzungumza na kusikilizwa hta kama anachozungumza kwako ni
ujinga. Pia jua kuwa mara nyingi mwanamke haitaji umpe solution bali
umsikilize na uchangie mtizamo wake, mwanaume we mpende mkeo kisha
mwache yeye akuelewe. A very simple social mathematics.
Nashukuru sana kwa mtoa mada.
Yaani sijui nicheke au tu nikupe saluti kwa kuwa mkweli! Tutakuombea lakini ni muhimu ujiombee na wewe
Mkuu una familia??
eti mara nyingine uact kama ,housegal,mamantilie,barmaids.na wakati mwingine kama mwanafunzi au mwalimu na vitoto vidogo hapo tayari ushamweka mume kiganjani!mie wangu hanywi pombe so hakutani na barmaids,hali kwa mama ntilie anakula steers au chinese restaurants wanaserve wanaume ,hajawahi pewa chakula na housegal toka amenioa au mtoto yeyote nisipompa mimi anachukua mwenyewe haya siwezi act kama housegal maana sijawahi ona akimpa mtu msosi .sasa sinitachekwa mimi hayo mapretend lol
yeye anaact kama bebebru linalotaka jike tu!Yaani hao wote na act mimi huyu huyu mmoja........yeye ana act nini kwangu........?
dah! Nmecheka mpaka mbavu znaniuma! Umeongea ukweli ambao wengi wanauficha. Cha ugenini hakiwez kufanana na cha nyumban hata waigize vp ugenin tutacheza tu
Kuzaliwa mwanaume raha sana nakushukuru Muumba kwa kuniumba Mwanaume.