Jinsi ya kumuweka mume wako kiganjani

Jinsi ya kumuweka mume wako kiganjani

Hawajui tu, ukiwa na mwanamme una hakika 100% mwaminifu, unaanza kumuona obsolete. Kuna raha yake bana, once in a while wanawake wengine wamwangalie kwa kumtamani, tena wale wakali kabisa ambao najua resisting them inahitaji niwe naye karibu.

Roho kwaaaaaaatu mie, vininevyo utajikuta uliolewa na zamadamu bure.

Wanawake mna kazi sana wallah.

Laiti mngejua ujanja wetu mdogo sana mkitujulia, msingekuwa mnahangaika hivi

Nawatakieni heri mwaego.
 
Wanawake mna kazi sana wallah.

Laiti mngejua ujanja wetu mdogo sana mkitujulia, msingekuwa mnahangaika hivi

Nawatakieni heri mwaego.

bebi nipiemu mie huo ujanja wenu niwapige bao wake wenza.
 
Wanawake mna kazi sana wallah.

Laiti mngejua ujanja wetu mdogo sana mkitujulia, msingekuwa mnahangaika hivi

Nawatakieni heri mwaego.

ebu ninong'oneze mjukuu wako hayo maujanja yenu simwambii mtu!
 
mwanaume yyte lazima awe mwanaume biashara za kuekana kiganjan ni za kizaman............sasa akiwa kiganjan pesa atatafuta wapi?? na wewe huendi job??

mpe uhuru mwana wa mwenzio na muda mwingine bora apige mechi za nje akirudi ndani ana heshima yake. yann kupata jaka moyo kisa mtoto wa mwenzio??

haya ndo yalee ya

'' urembo wa kachumbari kukaa juu ya pilau ikadhan imepakatwa kumbe ya kwanza kuliwa''
 
Hawajui tu, ukiwa na mwanamme una hakika 100% mwaminifu, unaanza kumuona obsolete. Kuna raha yake bana, once in a while wanawake wengine wamwangalie kwa kumtamani, tena wale wakali kabisa ambao najua resisting them inahitaji niwe naye karibu.

Roho kwaaaaaaatu mie, vininevyo utajikuta uliolewa na zamadamu bure.

hahahaha! Eti zamadamu!!
 
ko siku nyingine unakuwa ka house girl,siku nyingine ka mama ntilie siku nyingine ka baamed

kazi kweli kweli yote kumuweka kiganjani
Halafu mnakosea sana siku nyingine mnapokuwa wezi wa mifukoni.. yaani mtu akilewa tu basi full kusachi hadi boxer
 
It all about avoiding monotony.

Inabidi hata mpangilio wa furniture ndani mwako uwe tofauti.... change the decor get some wallpapers...

As for wewe mwenyeww mwanamke badili perfume yako sio hiyo moja iwe signature yako. Itamchosha.

Get some essential oils, soak together in a tub...

Get a hair cut, change the colour.

Get kinky, go wild.

If a man is worth your time, then stop at nothing to keep him in your arms.
 
Kwa mshahara upi?
 
Sipendi kumuweka kiganjani, napenda mishemishe ili kukeep relationship exciting.
Napenda ile hofu ya anytime he can be taken au kupigwa chepuo. Inafanya game ya mapenzi iwe tait hivi. Mara mbona unamchekea Rose, mara nambana bana, mara ana confess she was hitting on him.
Nalia lia pale, ananibembeleza, akipiga mechi ya baby am sore, uuwiii ni dk 90 za maana lazima aseno apigwe 5.

Nini kumweka mtoto wa watu kiganjani awe zezeta? Atashindwa hata tafuta pesa bure.

Kongosho mimi nilifikiri unge enda ukayajaribishe kwa zombie wako uone kama yatafanya kazi.
 
It all about avoiding monotony.

Inabidi hata mpangilio wa furniture ndani mwako uwe tofauti.... change the decor get some wallpapers...

As for wewe mwenyeww mwanamke badili perfume yako sio hiyo moja iwe signature yako. Itamchosha.

Get some essential oils, soak together in a tub...

Get a hair cut, change the colour.

Get kinky, go wild.

If a man is worth your time, then stop at nothing to keep him in your arms.

nimeipenda
 
Back
Top Bottom